Hahahah watu wanasahau kuwa hii ni awamu ya tano.
Ni sawa na kuomba maiti dawa.Ulimuambia unamtegemea nauli?? Yaani ulienda kumuona mgonjwa na ulitegemea akupe nauli yeye? Ungemuambia sina nauli.
Huu utegemezi umezidi kipimo.
Sent using Jamii Forums mobile app
I don't believe this is true.... Pure fictionTafadhali utuache,
Mwanaume asiyekupenda atakuonyesha actions tu.
Pole aiseeeNinampenz wangu tuna muda kama miez 6 hv..
Jana aliniita kwake kua anaumwa ajisikii poa nami nikaenda kwake kama kumuona kufika kumbe mtu mzima tu et nilitaka nijue kama unanipenda
Sababu mda ulikua umeenda nikaamua kulala kwake
Kilichoniuma tumelala asubuh kaamka kaenda kazini mi naamka hajaniachia hata nauli sijakaa kama dakika 20 hv akarudi alisahau kitu mi sikuambia kitu nikafikiria labda alisahau kama binadam au alikua ninayo,,,kumbe aliacha 500 mezan akairudia akaichukua
Nimeamka sina nauli kibaya nikwamba alivyonishtua anaumwa hata poch niliacha nyumban....
Wapendwa nimeumia sana maana nimehangaika nimemtumia msg my sina nauli...kakaa kimya hajajibu mpaka sasa hv nilichokifanya nikamwambia rafik yangu akanitumia...
Moyo umeniuma sana kwel kwa mtu unaempenda kwel unamfanyia hivyo.. Wht if nisingepata mtu wakumitumia
Osie iweNi mapema sana kujudge kwa upande mmoja...
1.Inawezekana jamaa kachunguza cm yako usiku kaona kuna sponser so kachukia why anahudumia while wako wawili au zaidi..
2.Inawezekana jamaa hataki aondoke..
3.Inawezekana kamchoka anamtafutia sababu....
4.Inawezekana jamaa kakuona sio wife material mwanaume akiwa anataka kuoa huwa wanakuwa na vigezo vingi sana labda kaamka morning kajiandalia breakfast au kaondoka na njaa...kajipasia nguo n.k....
5.Lakini pia inawezekana kitendo cha kukuita ghafla na kuamua kulala kwake coz hapo umesema muda umeenda umeamua kulala kwake kimekudisqualify kuwa mke...
kuna sababu zaidi ya mia za upande wa pili bado hatuzijui na hatutazijua
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wale wanaopewa nauli halafu wanakataa inakuwaje?Wanaume wabahili raha sana...hatokaa kudumu na mchepuko...maana michepuko inataka provisions....dada huyo mpare usimwache tafuta hela tu ili usimtegemee kwa kiasi kikubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbadala(substitute) wa Sumbai nipo hapa nakucheki tu!!
Na papuchi alikula?mkome kupenda mabrother manKama jina lako lilivo.. mama pitaa tuh
Syncerus cafer cafer
kisa jero tu??
Najiulizaga na mimiTeh,hivi hizi story huwa zina uhalisia kweli?
bila shaka mdomo wako umebaki wazi mkuu1. Unajuaje kama alikua hana hela...??
2. Au roho imekuuma kwakua tu alikutafuna na asubuhi akakuachia manyoya..!?
3. Hivi kweli kama huyo ni mpenzi wako, kwani ni lazima akulipe kila ukilala kwake....!?
4. Mbona sikunyingine haujawahi kuja kuyasema mazuri yake, ama hata kumuanzishia thread kila akikupa pesa...!?
5. Ulitaka akulipe, kwani wewe ni mfanya biashara ya mwili wako....!?
Aggghhhhh......
Nimejikuta napata maswali mengi kabla ya kukushauri aiseee.....
Anyway, huo ni mtazamo wangu tu. Naomba nisirushiwe mawe