Mkuu GTA ni game yenye scripts huru sana kama maisha yetu ya kawaida ingawa ipo kigame game zaidi
GTA ni game inayochezwa na watu wengi zaidi duniani kwasababu tu ni huru, kama unapenda driving unaweza endesha almost chochote kuanzia basikeli hadi ndege, unaweza kucheza game ndani ya game, shooting,swiming and a lot of stuff
Hii ni tofauti na fifa au nsf
Sim za EA zinasubiri sana kwa gta na hizi angalau unaweza kulinganisha na gta
Gta sio game mahususi kwa vita kama brothers in arms nk, gta inajaribu kureflect real life ya kitaa, kupigana kuibiana ubabe kufukuzana na polisi nk
Ni ngumu sana kulinganisha hizi kampuni mbili maana game zao haziendani
Kwa maana ya grafix ea wapo vizuri zaidi kuliko rockstar na hii ni kwasababu rockstar wanajaribu sana kuminimize req zao kukidhi matakwa ya vi pc ili watu wengi wenye pc waweze kizicheza