Rockstar Games Vs EA Games....!!!!

Rockstar Games Vs EA Games....!!!!

Hii Game ninayo sema PC haiwezi ika_play vema hii. Ni kampuni gani hii Game? Nimebaki kuangalia Videos zake tu, ni Game kali sana.

Hatari sana hii game mkuu, sijajua ni kampuni gani ila nimeicheza yote nakumaliza misheni. Umeona jinsi risasi inavyotoka ado inaonesha kwenye kiungo cha mwili ilipoingia?
 
Pia Brothers In Arms!! nawaelewa Sana Ubisoft
yah nilisahau na hiyo!!!! sema nashangaa kwanini makampuni mengine hawatengenezi game za mpira wamewaachia battle hiyo ea games na konami tu,im sure ubisoft wangetengeneza game la mpira basi tungepata something unique
 
Kweli kabisa mkuu
 
Ukinikumbusha Fifa hua nanyoosha mikono kwa EA
hata mimi fifa ndio ma favourite footbal game,hasa ukizingatia jamaa wamechukua award za game bora zaidi ya 300 ila ushindani mara nyingi huleta ubora
 
Kama thread inavyojieleza wakuu, unahisi ni kampuni gani kati ya hizo mbili wanatengeneza games zenye graphics za hatari na za ukweli kumshinda mwenzake. As for me, kiukweli EA games nawakubali, ila tatizo lao kubwa mara nyingi wakitoa game mpya wanaconsider platforms nyingine kama PS3, Xbox360 etc. Na wala hawatujali PC gamers. Lakini nimechek Rockstar games mostly wakirelease chombo lazima tu utakikuta na kwenye PC, nawasilisha!

Kaka Rockstar wapo juu kuliko EA tena sanaaaa gemu zao nyingi ni real life simulation na wanafix sana machine requrement kwa upande wa pc, EA kwa mimi naona ni gem 2 tu ambazo pengine ndio wamejitahidi labda fifa tena kuanzia 2011 na nfs gemu kama crysis 3 na buttle field mimi nachukulia ni kama vile kwa msaada wa watu wa marekani nguvu kubwa ni ya kampuni iliyotengeneza powerfull game engene mpya wanayoitumia kutengeneza latest games zao inaitwa Cry Engene.

Mbali na yote mwisho wa matatizo ni gemu za Ubisoft hao wengine ndio ninapowaona kama takataka tu kuanzia mission zake zipo real tuff, real word inveroment, graphics za kawaida lakini standard, minimmum requrement kwenye pc ni nzuri. yaani super kwa ujumla.
 
kaka kubutuana marisasi ya kichwa sidhani kama ni real life simulation, au kuna nchi duniani wanaishi hivyo? malaya wanatembea mtaani usiku na mchana bila kujali aina ya mtaa. katika magame ambayo ni imagination gta linaongoza useme tu unalipenda.

unapozungumzia simulation unamaanisha sims, search website yoyote kubwa duniani nenda amazon topseller search neno simulation utaona zinakuja sims kibaoooo, kuna sims city, sims 4, sims medieval nk
 
na Sims inatengenezwa ni EA. mwelimishe huyo mkaka chief-mkwawa maana naona analeta utani :biggrin:. tena nashaanga anachukulia battlefield poa.. duh!!
 
ubisoft ni wakali,ukichek games kama farcry 3,prince of persia,splinter cell,
 
kaka kubutuana marisasi ya kichwa sidhani kama ni real life simulation, au kuna nchi duniani wanaishi hivyo? malaya wanatembea mtaani usiku na mchana bila kujali aina ya mtaa. katika magame ambayo ni imagination gta linaongoza useme tu unalipenda.

unapozungumzia simulation unamaanisha sims, search website yoyote kubwa duniani nenda amazon topseller search neno simulation utaona zinakuja sims kibaoooo, kuna sims city, sims 4, sims medieval nk

Mkuu linapokuja swala la simulation GTA wana wapo free zaidi na wana script bora na huru.
Sims series huwezi kuilinganisha na GTA series
 
Sure Poul, Then kama gta anaweza kucheza mtu anaependa aina yoyote ya games, iwe race games, war games etc nadhani ndio maana gta ni kati ka ya gemu zilizochezwa zaidi .
 
Mkuu kiukweli kila mtu apo mkali kwa uwezo wake labda rockstar waanze kutengeneza game za sports kama football ndio tutajua
 
Kama thread inavyojieleza wakuu, unahisi ni kampuni gani kati ya hizo mbili wanatengeneza games zenye graphics za hatari na za ukweli kumshinda mwenzake. As for me, kiukweli EA games nawakubali, ila tatizo lao kubwa mara nyingi wakitoa game mpya wanaconsider platforms nyingine kama PS3, Xbox360 etc. Na wala hawatujali PC gamers. Lakini nimechek Rockstar games mostly wakirelease chombo lazima tu utakikuta na kwenye PC, nawasilisha!

mkuuu kama umecheza LA NOIR utakubaliana na mimi kwamba rockstar ni balaaa
 
tukianza kutaja game moja moja hatutafika conclusion kila moja lina uzuri wake na ubaya wake,tugeneralize ndio point ya msingi!!!

Nilikua namjibu mkuu aliyeniambia kama nimewahi kucheza LA NOIRE.
 
Rockstar games wanatoa mpaka version ya Ps2 lakini Ea games wameacha kutoa games za Ps2
 
Back
Top Bottom