Rock videos, kuna watu wanapiga gitaa?

Rock videos, kuna watu wanapiga gitaa?

Kaka U2 wanaisha sana nimewasikiliza sana home japo kwangu Jimi Hendrix, Eric Clapton, B.B King (R.I.P) na Mark Knopfler ni Legends hadi Santana alisema. Tafuta discography zao ujionee mwenyewe.
kuna watu wana talents. Hendrix mara nyingi ana top lists za best guitarists. alifanya kazi miaka 3 tu 27 - 30 akafa

Hii Concert ilikuwa na raha yake aisee, African music and Rock.

Just Astronomical , sikiliza vyombo hivyo.....
Red Giant please listen to this.

nashindwa kuimagine mziki huu uusikie kwenye speaker za kwenye concert!? ndiyo maana watu huwa wanalia na kuzimia.
 
Lets create our Rock, Indie, Country, Metal, and Folk Music Thread tuweke new albums, top chats and videos mbalimbali, Nipo tayari kushare lots of my collections.
 
Lets create our Rock, Indie, Country, Metal, and Folk Music Thread tuweke new albums, top chats and videos mbalimbali, Nipo tayari kushare lots of my collections.

HEBU ANZISHA THREAD MKUU TUFANYE KAZI.
 
Thats my best Rock and Roll Band, with Led Zeppelin.

Great video.

O Sweet Child of Mine!!!!11
bendi za zamani zilikuwa zinajua sana. nyimbo yao hii nyingine naipenda na inaujumbe mzuri. i don't want your civil war, it feed the rich and bury the poor.
 
Casting Crowns . na hapa nimefungulia Bonge la mziki baada ya kupitia uzi huu.. Here I go again, what the world need, Every man, Does any body hear her, We fall down, voice of truth, east to west, while you were sleeping........ mentioned few
bendi nzuri sana ya gospel. kuna jamaa wengine wa gospel wanaitwa Abandon, nina album yao inaitwa control ni nzuri sana. nyimbo kama your love goes on, under fire na live it out ni kali sana.
 
bendi nzuri sana ya gospel. kuna jamaa wengine wa gospel wanaitwa Abandon, nina album yao inaitwa control ni nzuri sana. nyimbo kama your love goes on, under fire na live it out ni kali sana.
Napenda sana miziki ya namna hii.. Ukiwa unadrive upo peke yako ndani ya gari then root ndefu barabara imenyoooka, fungulia sauti kubwa ndani ya gari kanyaga mafuta hadi mwisho then imba kwa sauti kubwa kuzid ya redio.. Utaenjoye
 
Back
Top Bottom