Robot

Robot

Adam waTZ

Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
83
Reaction score
9
Ilikuwa ni siku ambayo boss anasafiri kwa ndege asubuhi anajiandaa kuondoka ndipo alipewa taarifa na mlinzi wake kuwa usiku ameota ndege atakaepanda boss imeanguka na hakuna aliyepona ndipo boss akaamua kusitisha safari kweli baada ya muda taarifa kuhusu hiyo ndege kuwa imeanguka zinatangazwa ndipo boss aliamua kumuita mlinzi wake na kumpa barua ya kumfukuza kazi. Unahisi kwanin.
 
Mlinzi kulala badala ya kulinda.
Nadhani ndio sababu hiyo...
 
Hapo inamaana huyo mlinzi kila siku huwa analala badala ya kulinda ingawa alichoota kimetokea kweli
 
boss aliwehuka baada ya kuona ameokoka na hiyo ajali so alikuwa kichaa
 
Boss angetakiwa kumpromote mlinzi kwa kuokoa maisha yake..... wabongo bana..... kamfukuza kazi.... ukiangalia record ya wizi hakuna... kweli wabongo akili maji.
 
Dah ila atakuwa alilala kwa siku hiyo tu ili boss wake asife
 
Back
Top Bottom