chote ulichkiandika hapa ni kwa msaada wa technology ya marekani,bila wao usingeli type hapa! Unalijua hilo?Robo ya Wamarekani wanalala na njaa
Apr 23, 2023 07:04 UTC
[https://media]
Robert F. Kennedy anayewani kuwa mgombea rais wa Marekani amesema hali ya kiuchumi na kijamii katika nchi hiyo ni mbaya.
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Mehr, Kennedy, ambaye alianza kampeni zake za uchaguzi siku mbili zilizopita, ametangaza katika taarifa kwamba robo ya watu nchini Marekani hawawezi kukidhi mahitaji yao na hulala na njaa.
Kulingana na mrithi huyo wa familia maarufu ya Kennedy, wanajeshi 33,000 wa zamani wa Marekani hawana makazi na hivi sasa ni miongoni mwa watu wasio na pa kuishi nchini humo.
Mwaniaji huyo wa nafasi ya kugombea urais wa Marekani ameendelea kwa kukumbusha kuhusu hali mbaya ya wanajeshi wa nchi hiyo na kueleza kwamba wanajeshi 23 wa Marekani hujiua kila siku.
Robert F. Kennedy Jr, mwenye umri wa miaka 69, mwanaharakati wa kisiasa ambaye anajulikana zaidi kwa kampeni yake ya kuzitoa thamani chanjo za corona, ametangaza nia ya kugombea uteuzi wa kuwania urais wa Marekani katika uchaguzi wa 2024 kwa niaba ya Chama cha Democratic.
Yeye ni mpwa wa hayati wa John F. Kennedy, rais wa 35 wa Marekani.../
My take:Superpower la ushoga namchongo
View attachment 2596917
Uliyoandika hapa ni kweli kabisa mkuu,ila sijui kama watu wanajua kwamba it is by design.Imeshapangwa kwamba America iwe Third World Country na the NWO Cabal or the Khazarian Mafia who rules America and infact the World,kwa hiyo sidhani kama Robert Kennedy ataweza kufanikiwa kuwa Rais wa Marekani,pamoja na ukweli kwamba ndiye anayefaa kuwa Rais wa Marekani.Robo ya Wamarekani wanalala na njaa
Apr 23, 2023 07:04 UTC
[https://media]
Robert F. Kennedy anayewani kuwa mgombea rais wa Marekani amesema hali ya kiuchumi na kijamii katika nchi hiyo ni mbaya.
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Mehr, Kennedy, ambaye alianza kampeni zake za uchaguzi siku mbili zilizopita, ametangaza katika taarifa kwamba robo ya watu nchini Marekani hawawezi kukidhi mahitaji yao na hulala na njaa.
Kulingana na mrithi huyo wa familia maarufu ya Kennedy, wanajeshi 33,000 wa zamani wa Marekani hawana makazi na hivi sasa ni miongoni mwa watu wasio na pa kuishi nchini humo.
Mwaniaji huyo wa nafasi ya kugombea urais wa Marekani ameendelea kwa kukumbusha kuhusu hali mbaya ya wanajeshi wa nchi hiyo na kueleza kwamba wanajeshi 23 wa Marekani hujiua kila siku.
Robert F. Kennedy Jr, mwenye umri wa miaka 69, mwanaharakati wa kisiasa ambaye anajulikana zaidi kwa kampeni yake ya kuzitoa thamani chanjo za corona, ametangaza nia ya kugombea uteuzi wa kuwania urais wa Marekani katika uchaguzi wa 2024 kwa niaba ya Chama cha Democratic.
Yeye ni mpwa wa hayati wa John F. Kennedy, rais wa 35 wa Marekani.../
My take:Superpower la ushoga namchongo
View attachment 2596917
Huwa naudhika kweli kweli nikiona comments za hivi. Comments za hivi huwa ni za watu ambao wana low IQ,wavivu sana wa kufikiri na walioshikiwa akili.chote ulichkiandika hapa ni kwa msaada wa technology ya marekani,bila wao usingeli type hapa! Unalijua hilo?
baba yako ana IQ ya kiasi gani? bladifaken bastardHuwa naudhika kweli nikiona comments za hivi. Comments za hivi huwa ni za watu ambao wana low IQ,wavivu sana wa kufikiri na walioshikiwa akili.
Hivi unafikiri kweli Robo ya wamarekani wanaweza kulala kwenye firstly world country duniani. Wenye dhiki marekani ni wale drug addict tuu. mtu mwenye Akili zake timamu hawezi kulala njaa marekani. US fursa za kupata pesa ni nyingi Sana compared na nchi nyingi duniani. Ile ni first world countryRobo ya Wamarekani wanalala na njaa
Apr 23, 2023 07:04 UTC
[https://media]
Robert F. Kennedy anayewani kuwa mgombea rais wa Marekani amesema hali ya kiuchumi na kijamii katika nchi hiyo ni mbaya.
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Mehr, Kennedy, ambaye alianza kampeni zake za uchaguzi siku mbili zilizopita, ametangaza katika taarifa kwamba robo ya watu nchini Marekani hawawezi kukidhi mahitaji yao na hulala na njaa.
Kulingana na mrithi huyo wa familia maarufu ya Kennedy, wanajeshi 33,000 wa zamani wa Marekani hawana makazi na hivi sasa ni miongoni mwa watu wasio na pa kuishi nchini humo.
Mwaniaji huyo wa nafasi ya kugombea urais wa Marekani ameendelea kwa kukumbusha kuhusu hali mbaya ya wanajeshi wa nchi hiyo na kueleza kwamba wanajeshi 23 wa Marekani hujiua kila siku.
Robert F. Kennedy Jr, mwenye umri wa miaka 69, mwanaharakati wa kisiasa ambaye anajulikana zaidi kwa kampeni yake ya kuzitoa thamani chanjo za corona, ametangaza nia ya kugombea uteuzi wa kuwania urais wa Marekani katika uchaguzi wa 2024 kwa niaba ya Chama cha Democratic.
Yeye ni mpwa wa hayati wa John F. Kennedy, rais wa 35 wa Marekani.../
My take:Superpower la ushoga namchongo
View attachment 2596917
Kumbe hujui chochoteHivi unafikiri kweli Robo ya wamarekani wanaweza kulala kwenye firstly world country duniani. Wenye dhiki marekani ni wale drug addict tuu. mtu mwenye Akili zake timamu hawezi kulala njaa marekani. US fursa za kupata pesa ni nyingi Sana compared na nchi nyingi duniani. Ile ni first world country
Kule fursa ni nyingi mno. People are fighting to go to USA to start new life . Kule kuna matumaini ya maisha kuliko hapa Africa my friend. Azumgumze akiefika USA au anayeishi USA au aliyewahi kusafiri kwenda kuanza maisha USAKumbe hujui chochote
kwani kaongelea habari za tecknolojiaa au kasema kuhusu wamarekani kulala nje aisee ni shida unakurupuka tu tecknolojia hata korea kaskazini wanayo ...irani wanayo urusi ndio usiseme balaa ishiiiView attachment 2597336View attachment 2597338View attachment 2597337chote ulichkiandika hapa ni kwa msaada wa technology ya marekani,bila wao usingeli type hapa! Unalijua hilo?
jinga hilo...Huwa naudhika kweli nikiona comments za hivi. Comments za hivi huwa ni za watu ambao wana low IQ,wavivu sana wa kufikiri na walioshikiwa akili.
kwani china hawana technolojia simu unayotumia inacorectiwa kutoka china ishiiiii mna kera yaani mshaona marekeni ndio kila kitu dunia hiii ....baba yako ana IQ ya kiasi gani? bladifaken bastard
lingine hilo hapo .....[emoji23][emoji23][emoji115][emoji115][emoji115]Hivi unafikiri kweli Robo ya wamarekani wanaweza kulala kwenye firstly world country duniani. Wenye dhiki marekani ni wale drug addict tuu. mtu mwenye Akili zake timamu hawezi kulala njaa marekani. US fursa za kupata pesa ni nyingi Sana compared na nchi nyingi duniani. Ile ni first world country
majitu yaliyo zaliwa juzi utayajua tuu mitandao na muvi za holly wood zimewajaa kichwani hawajui nje ya marekni kuna technolijia ya juu kuliko hata marekani yenywe ....muulize nani au nchi gani ya kwanza kupeleka satelite kwenye orbit na ni mwaka gani ?Huwa naudhika kweli nikiona comments za hivi. Comments za hivi huwa ni za watu ambao wana low IQ,wavivu sana wa kufikiri na walioshikiwa akili.
Ebu muulize huyu Kimsgirl mkuu wa kitengo cha propaganda cha Iran na washia huku East Afric kwamba na Roma mkatoliki analala njaa au? wivu mbaya sana kwa wavaa vipedo huyu kimsgirl hasije akatuletea ushia wake hapa kwetu.Hivi unafikiri kweli Robo ya wamarekani wanaweza kulala kwenye firstly world country duniani. Wenye dhiki marekani ni wale drug addict tuu. mtu mwenye Akili zake timamu hawezi kulala njaa marekani. US fursa za kupata pesa ni nyingi Sana compared na nchi nyingi duniani. Ile ni first world country
Wewe umevurugwa na USA sio bure babu ee, USA ndo baba lenu hapa duniani kila kitu mnataka mligane naye it means amewazidi okmajitu yaliyo zaliwa juzi utayajua tuu mitandao na muvi za holly wood zimewajaa kichwani hawajui nje ya marekni kuna technolijia ya juu kuliko hata marekani yenywe ....muulize nani au nchi gani ya kwanza kupeleka satelite kwenye orbit na ni mwaka gani ?
ila ila kwa akili za huyo atakwambia ni ELON MUSK....sheeeeee
Amekuaje mjibu basi, au na wewe pia ni miongoni mwa wavaa vipedo?? Ameuliza vyema so mpe jibulingine hilo hapo .....[emoji23][emoji23][emoji115][emoji115][emoji115]