Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,835
- 33,515
Africa tuna Rais mmoja tu Mugabe, na vile siku zake zinaenda ukingoni sidhani kama Afrika itapata tena Rais wa aina yake. !
Africa tuna Mugabe, Asia wana Putini.!
Like America sniffs on his internal affairs.Huyu nae, instead of worrying about the difference between Zimbabwean dollar and American Dollar he's sniffing on American internal affairs...
Africa tuna Rais mmoja tu Mugabe, na vile siku zake zinaenda ukingoni sidhani kama Afrika itapata tena Rais wa aina yake. !
Africa tuna Mugabe, Asia wana Putini.!
Chemka bongo. Mugabe si basha bali anamkejeli Obama na Amerika.staki kuamini huyu mzee ni basha kiasi hichi
Sasa kati ya hayo maneno mawili wewe unatumika wapi hapo, mbele au nyuma?
teh teh teh teh tulia anti salama!..nshasema hayo mengine yenu!
Like America sniffs on his internal affairs.
Obama shoga tena nimuite ------ aliyelaaniwa
Wanabody,
Salaam..!
Sijaingia huku kitambo sana,nimekutana na hii habari nikaona niilete huku. Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe,anataka kumuoa mwenzie wa Marekani Barrack Obama baada ya Mahakama kuu nchini marekani kuidhinisha ndoa za jinsia moja nchi nzima.
My take;Robert Mugabe ana utani wa ngumi huyu mzee,sijui huwa anajiamini nini!!?
Source;BBC-SWAHILI