Robert Mugabe says he will propose to Barack Obama

.....tatizo sio kuogopa Mugabe kunitolea posa (FYI am a woman)
Tatizo ni kutolewa posa na kiumbe kama kile!
Halafu pilipili iliyo shamba sijui yawawasha nini!

Kwani Mugabe yupo je???.
 

Nilimuheshimu sana Obama nikamchukilia kuwa Kiongozi mwenye Hekima na Busara lkn Kwa kuunga mkono machafu haya Sitamuheshimu tena,mimi ninamwona km Lofa tu japo yeye atajiona km kiongozi bora,Huyu anatumia Hekima ya kibinadamu ndiyo maana anakubali hata uozo ovyo kabisa hii njemba haifai hata kwa bure,Kiongozi bora ni yule anayefuata Maongozi ya MUNGU.
 
Kwa mtindo huu Adhabu ya Mungu hatutaikwepa!,Laana hizi watu km akina Obama kuhalalisha kitu ambacho ni Against Nature,ni jambo la aibu na la Hatari sana halafu eti watu wanamsifu kuwa kiongozi bora,Kumbe ni uozo tu!,hafai kabisa huyu.
 

teh teh teh teh...mimi nilikuwa naongelea matumizi ya maneno hayo mawili!..hayo ya kuwa uchi mkajifungia mlango hadi asubuhi na mkitoka watu watajuaje,hayo yenu sasa wenye fani zenu!
 

Tatizo letu la kukana ukweli na kukumbatia vitu ambavyo havita umiza hisia zetu sana.
Hata tusiende mbali, hapa JF, na kwenye other social media, tumeona hii issue mara ngapi?!, and it's all over!, the reason that they legalized it and we haven't don't make us saints. Gay people live among us.
 
.....tatizo sio kuogopa Mugabe kunitolea posa (FYI am a woman)
Tatizo ni kutolewa posa na kiumbe kama kile!
Halafu pilipili iliyo shamba sijui yawawasha nini!

Mugabe nadhali kala watotp wakali kuliko wewe ambao nadhani hata theluthi yao hufikii alafu unasema kile kiumbe. angalia remi ongala,wasira wana sura mbaya ila wana wanawake ambao wewe hufikii hata robo yao. wanawake wa humu mnajifanya wajanja wakati mna sura mbaya sana na hamuuziki uraiani alafu mnajifanya hapa eti kile kiumbe wakati wewe mwenyewe uko kama kiazi hueleweki wapi nyuma wapi mbele.
 
WANAITA USHOGA/NDOA ZA JINSIA MOJA ILI KUPUNGUZA MAKALI
ULE NI U.S.E.N.G.E TU;HAKIKA MAREKANI NI TAIFA LA K.I.S.E.N.G.E.......
iko katika maandiko.
 
WANAITA USHOGA/NDOA ZA JINSIA MOJA ILI KUPUNGUZA MAKALI
ULE NI U.S.E.N.G.E TU;HAKIKA MAREKANI NI TAIFA LA K.I.S.E.N.G.E.......
iko katika maandiko.

Kitabu gani mkuu na mstari wa ngapi unasema marekani ni taifa la kisenge?
 
teh teh teh teh...mimi nilikuwa naongelea matumizi ya maneno hayo mawili!..hayo ya kuwa uchi mkajifungia mlango hadi asubuhi na mkitoka watu watajuaje,hayo yenu sasa wenye fani zenu!

Sasa kati ya hayo maneno mawili wewe unatumika wapi hapo, mbele au nyuma?
 
Wanajamvi kama kuna mwenye CV ya Mugabe tupeane kwasababu anaonekana kuwa ni comedian hivi achilia mbali mdororo Wa uchumi alionao! Mugabe anacheza kisengeri karibu na mzinga Wa nyuki.
 
wanajamvi kama kuna mwenye cv ya mugabe tupeane kwasababu anaonekana kuwa ni comedian hivi achilia mbali mdororo wa uchumi alionao! Mugabe anacheza kisengeri karibu na mzinga wa nyuki.
huyu ni msomi aliyetukuka
elimu yake haina shaka asilani
matatizo yanayomkuta
ni kwasababu tu
hataki kuwaabudu wazungu....kama viongozi wengine wa kiafrika wanavyofanya.
 

Hahaaaaa!, mbona pole zao hao waloliwa!
Umeguswa cause inaonekana na wewe hauta mind kuliwa na watu kama hao...kwikwi!
 
Kweli hiyo itavunja rekodi ya dunia. Naomba aende na barua ya ushenga na kishika uchumba kabisa! hahahahaha
 
Amegusa hanga zako nini?
Huyu nae, instead of worrying about the difference between Zimbabwean dollar and American Dollar he's sniffing on American internal affairs...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…