Rais ukishindwa kujenga Taasisi imara, matokeo yake utatafuta mchawi hata nje ya nchi? Haya ndio aliyoyata huyu rais, mwache akose usingizi, ila sidhani kama anakosaga usingizi maana hata akiwa kwenye hafla fulani tunamwonaga akilala wakati shughuli ikiendelea!