Robert Mugabe anasema "tit for tat, you hit me I hit you."

engmtolera

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
5,149
Reaction score
1,441
2013825124012426362_20.jpg

Zimbabwean President Robert Mugabe has threatened to retaliate against companies from Britain and the United States if these Western powers persisted in pressuring his government with sanctions that he called "harassment".

Mugabe's latest verbal broadside on Sunday against his main Western critics followed their questioning of his re-election in a July 31 vote that his rival Morgan Tsvangirai has denounced as a "coup by ballot" involving alleged widespread vote-rigging.
Mugabe, who at 89 is Africa's oldest leader, has rejected the fraud allegations and was sworn in on Thursday for a fresh five-year term in the southern African nation that he has ruled since its independence from Britain in 1980.
"They should not continue to harass us, the British and Americans," he told supporters at the funeral of an air force officer.
"We have not done anything to their companies here, the British have several companies in this country, and we have not imposed any controls, any sanctions against them, but time will come when we will say well, tit for tat, you hit me I hit you."
British companies in Zimbabwe include banking groups Standard Chartered Plc and Barclays Plc. These are already the target of a so-called "indigenisation" policy that requires they cede a majority stake to black Zimbabweans.
Mugabe and prominent members of his ZANU-PF party are the targets of financial and travel sanctions imposed by the United States and the European Union.
These were applied by Washington and Brussels to punish alleged election-rigging and abuses of power.
Britain said last week Mugabe's re-election could not be deemed credible without an independent investigation into allegations of voting irregularities.
US officials also said the July 31 election was flawed and Washington had no plans to loosen sanctions until there were signs of change in the country.
In contrast, observers from the regional 15-nation Southern African Development Community (SADC) and the African Union broadly endorsed the Zimbabwean vote as free and peaceful.
source Miffed Mugabe threatens to act against West - Africa - Al Jazeera English
 
"Heri Kiongozi Mkongwe Kuliko Kiongozi KIBARAKA"

Ungeijua shida ya wazimbabwe usingehata thubuti kuyasema hayo uliyosema. kwani Mugabe ndio kibaraka wa wazungu kwasababu yeye ndiye aliyekubali kuishi na wazungu toka alipopewa uhuru wa kuitawala Zimbabwe lakini alipoona wazimbabwe wameuchoka utawala wake.Akaamua kutumia sera mfu ya kuwanyanganya wazungu mashamba na kuwapa wenyeji wasio na mtaji wala elimu juu ya maswala ya kilimo.swali na kibaraka kati ya aliyekubali kuishi na wakulima wakizungu kwa zaidi miaka 25 tangu na huyu anayesema wazungu walifaa kuendesha uchumi wazimbabwe? km vp tafakari upya!
 
baada ya kutafakari upya nikajua hakika ni heri kuwa na kiongozi mkongwe kuliko kiongozi kibaraka awezae kuuza mbuga kugawa madini na wanyamapori nembo ya taifa
 
Ungeijua shida ya wazimbabwe usingehata thubuti kuyasema hayo uliyosema. kwani Mugabe ndio kibaraka wa wazungu kwasababu yeye ndiye aliyekubali kuishi na wazungu toka alipopewa uhuru wa kuitawala Zimbabwe lakini alipoona wazimbabwe wameuchoka utawala wake.Akaamua kutumia sera mfu ya kuwanyanganya wazungu mashamba na kuwapa wenyeji wasio na mtaji wala elimu juu ya maswala ya kilimo.swali na kibaraka kati ya aliyekubali kuishi na wakulima wakizungu kwa zaidi miaka 25 tangu na huyu anayesema wazungu walifaa kuendesha uchumi wazimbabwe? km vp tafakari upya!

Si bora huyo anayefanya makosa ya kisera kuliko yule asiyekua na sera na alifunga safari kwenda kumshuhudia kiboko ya ubeberu akiapishwa.Yeye bila aibu alivaa suti alizohongwa na wageni in exchange ya raslimali za nchi
 
[FONT=Arial Narrow[SIZE=3]Jongwe, sura ya zimbabwe inanyionyesha na siasa za Mugabe zinazidi kung'ara[/SIZE]][/FONT]
 
Ungeijua shida ya wazimbabwe usingehata thubuti kuyasema hayo uliyosema. kwani Mugabe ndio kibaraka wa wazungu kwasababu yeye ndiye aliyekubali kuishi na wazungu toka alipopewa uhuru wa kuitawala Zimbabwe lakini alipoona wazimbabwe wameuchoka utawala wake.Akaamua kutumia sera mfu ya kuwanyanganya wazungu mashamba na kuwapa wenyeji wasio na mtaji wala elimu juu ya maswala ya kilimo.swali na kibaraka kati ya aliyekubali kuishi na wakulima wakizungu kwa zaidi miaka 25 tangu na huyu anayesema wazungu walifaa kuendesha uchumi wazimbabwe? km vp tafakari upya!

You are very right. Mugabe anacheza na akili za watu kwa kuwadanganya kuwa aliwakomboa kutoka kwa wakoloni huku akiwaangiza kwenye lindi la umaskini. Mke wake alisema wamepanga ikulu milele.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mugabe ni kiongozi mjinga sana.

Ndio kiongozi mjanja aliebaki Africa. Nchi yake ilikua inaenda wapi unadhani, kama wakulima 5 walikua na uwezo wa kugoma kuuza mahindi halafu nchi nzima ikawa na njaa? Mi nawaombea Zimbabwe huyu Bwana akifa wapate mwingine anaeweza kusimamia sera za kumilikisha mali mwananchi!

Ana kosa gani kumzidi Mseveni? au Kagame? mpaka awekewe vikwazo yeye pekee?

Anajali maslahi ya wananchi ndio maana wanamuamini.
 
Lazima atakuwa mjanja sana maana yeye rumba kama hili kwenye hii video analisikia tu kwenye bomba!

Last edited by a moderator:
Masikini jeuri ambaye ameamua kufia madarakani kuonyesha umwamba wake bila kujali mateso anayowasababishia wananchi wake.Eti "they should not continue to harass us...'' wakati nchi umeipeleka ICU??? ila kwa kuwa yeye, familia yake na rafiki zake wanakula bata, haoni tatizo. Yaani ndio tuseme Zimbabwe nzima toka uhuru mwenye akili ya kuongoza, hata kwenye chama chake ni yeye tu?
 
Mugabe ni kiongozi mjinga sana.
Ni mfano mzuri sana wa moja ya saratani ya viongozi wa Afrika - ulevi na uchu uliopindukia wa madaraka- bila kujali mateso kwa hao anaolazimisha kuwatawala. Kama UN au AU vingekua vyombo huru na vinavyotenda haki wangetakiwa wawe na sheria ya kuhakikisha mtu mmoja hawezi kutawala zaidi ya miaka 10!!!!
 
Masikini jeuri ambaye ameamua kufia madarakani kuonyesha umwamba wake bila kujali mateso anayowasababishia wananchi wake.Eti "they should not continue to harass us...'' wakati nchi umeipeleka ICU??? ila kwa kuwa yeye, familia yake na rafiki zake wanakula bata, haoni tatizo. Yaani ndio tuseme Zimbabwe nzima toka uhuru mwenye akili ya kuongoza, hata kwenye chama chake ni yeye tu?

Alishasema akifa yeye bora rais awe mkewe...
 
Masikini jeuri ambaye ameamua kufia madarakani kuonyesha umwamba wake bila kujali mateso anayowasababishia wananchi wake.Eti "they should not continue to harass us...'' wakati nchi umeipeleka ICU??? ila kwa kuwa yeye, familia yake na rafiki zake wanakula bata, haoni tatizo. Yaani ndio tuseme Zimbabwe nzima toka uhuru mwenye akili ya kuongoza, hata kwenye chama chake ni yeye tu?
ZIMBABWE! the country we fought for, the country we died for, we are not ready to see it falling again in the hands of same people who denied our humanity and ignored our cries! by MGABE... mgabe oyeeeeeeee
 
Back
Top Bottom