Robert Mugabe anasema "tit for tat, you hit me I hit you."

Robert Mugabe anasema "tit for tat, you hit me I hit you."

Ni kweli Mugabe anaweza kuwa anauchu wa madaraka, lakini kama angeona mtu mwenye uzalendo kaka yeye siku nyingi angekuwa kisha mpasia.

sasa Tsivangirai si Kibaraka tu?
 
Ni mfano mzuri sana wa moja ya saratani ya viongozi wa Afrika - ulevi na uchu uliopindukia wa madaraka- bila kujali mateso kwa hao anaolazimisha kuwatawala. Kama UN au AU vingekua vyombo huru na vinavyotenda haki wangetakiwa wawe na sheria ya kuhakikisha mtu mmoja hawezi kutawala zaidi ya miaka 10!!!!

wewe mtanganyika una mamlaka gani yakusema hili ni zuri hili ni baya,hili linafaa kuwa hiv hili linafaa kuwa vile?ina maana hao wananchi kwenye hayo mataifa hawajui kuwa inatakiwa iwe hivyo?unajua principles za AU au UNO?wewe mtanganyika huna mamlaka ya kuwasemea watu wa taifa jingine.
 
labda kama wewe ni mzungu.
Wanaohangaika ni wenzako mpingo kama wewe hao wazungu wanakula bata tuu na insurance zinawalipa kwa hiyo ardhi iliyochukuliwa na Mugabe,na wanaokimbia nchi wengi ni weusi sio wazungu,Mugabe kaharibu nchi ile bado mnamsifia kama huo sio wehu ni nini?
 
1. ivi kwani matatizo ya zimbabwe yamesababishwa na mugabe au vikwazo vya uingereza na marekani?

2. Wazungu walitegemea wangeendelea kumiliki ardhi kubwa kiasi kile mpaka lini? (mtu mmoja anamiliki sehemu kubwa kama bagamoyo na kibaha)

3. Kwa hiyo ndo style mpya ya kuwekewa vikwazo kila kiongozi afrika akipingana na marekani, uingereza... alafu kumchafua kwenye media..

Mugabe ndo jembe lililobakia afrika...wanaomponda wakajinyee...
 
Ungeijua shida ya wazimbabwe usingehata thubuti kuyasema hayo uliyosema. kwani Mugabe ndio kibaraka wa wazungu kwasababu yeye ndiye aliyekubali kuishi na wazungu toka alipopewa uhuru wa kuitawala Zimbabwe lakini alipoona wazimbabwe wameuchoka utawala wake.Akaamua kutumia sera mfu ya kuwanyanganya wazungu mashamba na kuwapa wenyeji wasio na mtaji wala elimu juu ya maswala ya kilimo.swali na kibaraka kati ya aliyekubali kuishi na wakulima wakizungu kwa zaidi miaka 25 tangu na huyu anayesema wazungu walifaa kuendesha uchumi wazimbabwe? km vp tafakari upya!

Aliulizwa swali na mwandishi mmoja wa Uk kwamba akiwa na umri wa miaka +80 haoni kama ni muda mwafaka kwake kuachia ngazi madaraka ? alimjibu mwandishi kwamba alishawahi kuumilza swali hilo Malkia Elizaberth wa Uingereza au maswali hayo ni kwa viongozi wa Afrika tu?

Mwandishi akasema asante na maswali yakaishia hapo.
 
Sanctions could be not a concern, with a very strengthened local economy and/or other optional partners. If, there is misunderstand among certain parts, then, why not avoid?! If his people/members of party is/are limited to be unable to visit certain places in Europe, why not go for other places?! This World is so vast indeed, and there are thousands of choices for actions and oaths. If the resources suffer from european sanctions, then why not find other trustworthy options around the Globe?! This also COULD and CAN, no doubt, prevent unwanted conflict.
 
Back
Top Bottom