Robert Hariel na Joram: wana filosofia wenye nia njema walivyoliwa kichwa na System ya CCM

Ed edd n eddy

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2016
Posts
246
Reaction score
316
Hapa nakunywa konyagi kubwa nikawa nawaza mawazo haya. Hebu kama wadau wa JF tuzungumze ukweli ambao wengi wanaogopa kuusema kuhusu hii mada:

“CCM ina uwezo wa kumvua mtu roho yake ya kweli bila hata kutumia bunduki.”

Binafsi nimeona kwa uelewa wangu hawa content creator wa jf kama
Robert Hariel … alikuwa ni kalamu huru, mtunzi aliyekuwa anaandika kwa uchungu wa nchi. Alikuwa anazungumzia ndoto, mabadiliko, na utu.

Joram… Huyu jamaa nimemjua sana twitter na Insta ni kijana aliyependa Kiswahili, aliyekuwa anasisitiza utamaduni na maarifa. Alikuwa anaamini katika kizazi kipya chenye msimamo.

Leo hii, mimi binafsi siimini wanachokiandika ndio wanachokifanya.

Leo wanatumika kama sehemu ya machine ya CCM. Sio kwa kupiga kelele, bali kwa kupaka rangi laini za propaganda. Wanajifanya wako huru, lakini posts zao ni kama viraka vya kutengenezea sura ya chama tawala.

“Ukiwa na ndoto, ukiwa na sauti, ukiwa na ushawishi — system itakufuata. Si kwa risasi, bali kwa nafasi. Si kwa vitisho, bali kwa deals. Si kwa hofu, bali kwa heshima bandia.”

CCM ni bonge la mashine na naipenda

Inakuvuta kwa polepole. Inakupa exposure, inakupa posho, inakusogeza karibu na madaraka. Halafu taratibu, unajikuta huandiki tena kwa uchungu. Unaongea kwa ustaarabu wa hofu. Unaanza kusema “sio kila kitu kibaya.” Unaanza kutetea uzalendo wa kimazingaombwe. Unatupwa kwenye kundi la “wasomi wanaotetea maendeleo” kumbeeee ni wasomi waliokubali kunyamaza ili waendelee kumeza.
Robert na Joram hawakuanza hivi. Walikuwa na malengo halisi.

Lakini nguvu ya system ni kama bahari ya mafuta: ukidondoka, huogopi kuungua unavutwa ndani kimya kimya hadi umezwe kabisa. Dadadakei

Tunaishi kwenye taifa ambalo hata waliojaa ndoto wanageuzwa kuwa vinyago vya hofu.

Leo tunacheka na Robert na Joram, tukisema “wamekua” — kumbe wamevuliwa roho yao ya kwanza na kuvikwa suti za propaganda.

Usikubali kuamini kila mtoa hoja ni huru.
wanaongea kwa midomo yao, lakini sauti ni ya mabwana zao.

CCM si chama tu……… ni system ya kunasa fikra, kubadilisha nia, na kulipa kimya chenye madhara.

Tuwaangalie vizuri wale tunaowaita “influencers.”

Hawako pale kwa bahati.

Wengine tayari ni sehemu ya mpango wa kukutengenezea ndoto bandia.

Hapa niko konyagi ndogo ya nne mpaka namaliza kuandika hii na pia TAL hafai kua Rais sababu ana makasiriko sana atazingua mishe zangu. 😎😎
 
Joram kwa sasa anakula sana mashavu .

Anasafari Sana duniani

kinachomrudisha nyuma Robert hatumii video ila anakipaji kikikubwa kuwazidi Joram na watamzania wote
 
Katika hao wewe ID yako ni ipi?
 
huyu huyu Mtibeli! kumbe analambishwa asali kimya kimya!
 
Kuna watu mnafurahisha Sana.
Anazungumzia wewe? Mimi huwa nasoma thread zako hapa ila huyo Joram simjui kabisa. Maoni yangu genuine ni kwamba Tanzania wananchi wengi huwa wanatabia ya ku-overrate waandishi au wataalam. Nadhani huenda kwa sababu ya elimu yetu duni. Mwandishi anayesifika Tanzania, nchi kama Kenya anaweza kuwa kilaza. Ona mtu kama yule Balile; Bongo anajiita eti ni mwandishi wa habari lakini ukisoma maandiko yake ni kichekesho. Mayalla naye eti anaitwa mwandishi wa habari tena mkongwe!
 
Back
Top Bottom