Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,034
- 144,388
Bila wazungu CCM wangetumalizaAsanteni rafiki zetu Wazungu maana Waswahili tumebakia kuvunjana miguu sisi vs sisi!
Kabisa aisee!Bila wazungu CCM wangetumaliza
Acha watusaidie na huyu dikteta wetuKabisa aisee!
Ujanja ndiyo huu mnaufanya na wakurugenzi?!Ujinga ujinga fulan hv amazing,
Inasikitisha sana kuona wazungu wanatujali sana, yaani hata wapinzani wanaopewa dhamana kutoka korokoroni ni kwa sababu ya kelele za wazungu.Bila wazungu CCM wangetumaliza
Wanapaswa kujadili juu ya koronaBunge la ulaya, siasa za Tanzania!
Mgogoro wa uingereza kujitoa umoja wa ulaya unawatoa jasho, wataweza siasa za tanzania kwel?
Nasi kesi ya Trump na Brexit tumeifungua Kisutu. Haiwezekani Trump anyimwe Urais, korona isipatiwe ufumbuzi, Waafrika wauaweSafi sana. Kama tumeshindwa ndani ni vizuri watu wa nje watusaidie. Tumechoka kunyanyaswa na kuteswa kama wakimbizi!
Kafungueni tuNasi kesi ya Trump na Brexit tumeifungua Kisutu. Haiwezekani Trump anyimwe Urais, korona isipatiwe ufumbuzi, Waafrika wauawe
Kwahiyo unalinganisha Bongo vs Uingereza sio? Kwa kitu gani labda nguvu za kiuchumi, kidiplomasia, kijeshi au?Bunge la Ulaya, siasa za Tanzania!
Mgogoro wa Uingereza kujitoa umoja wa ulaya unawatoa jasho, wataweza siasa za Tanzania kweli?
Kama hujishughulishi unakaa kwa shemeji yako Mbowe au Sugu lazima uone unateswa Kama mkimbizi. Wanaume waliozoea kula kwa jasho hawalii lii hovyo mitandaoni. Nakuhakikishia hakuna litakalotokea.Safi sana. Kama tumeshindwa ndani ni vizuri watu wa nje watusaidie. Tumechoka kunyanyaswa na kuteswa kama wakimbizi!