Road map 2023-2025 na Maridhiano ya Kisiasa

Road map 2023-2025 na Maridhiano ya Kisiasa

Ndio maana nikasema wakati si milele.. Je umenielewa vema hapo!? No matter what ccm haitakaa madarakani milele..
Ukiona USHOGA umefikia 60% Tz .... Hapo lazima CHADEMA watachukua Nchi. But for now...it is real really ridiculous to have such expectations!!!
 
Ukiona USHOGA umefikia 60% Tz .... Hapo lazima CHADEMA watachukua Nchi. But for now...it is real really ridiculous to have such expectations!!!
Hayo ya ushoga sio muktadha wala sehemu ya mjadala wetu
 
Hayo ya ushoga sio muktadha wala sehemu ya mjadala wetu
Linapokuja suala la [emoji304]

1. LISSU anapatwa na Dysarthria
2. MBOWE anashikwa na Aphasia
3. LEMA anakamatwa na Stutter

Hawajanyooka bado, yaani hata Dkt msomi MSUKUMA anawashinda!???
 
Linapokuja suala la [emoji304]

1. LISSU anapatwa na Dysarthria
2. MBOWE anashikwa na Aphasia
3. LEMA anakamatwa na Stutter

Hawajanyooka bado, yaani hata Dkt msomi MSUKUMA anawashinda!???
Hizi ni personal attacks nje ya mada.. Washindwa wengi huwa hivi
 
Jobless Lema hajapata mgao nn? Anaropokwa bila breki
Alisikia kuna mgao. Akakurupuka akatoka mafichoooni kufika akakuta Mboye mtoto wa mjini kamzidi kete kaweka mfukoni mgao wote. Ndio maana anaropoka hovyo. Mara boda boda sio kazi basi angechoma moto boda boda zote kisha awape ajira nzuri na ya kudumu madereva wote wa boda boda. Famasiala nini kukosa mgao.
 
Mama atawapa katiba mpya baafa ya kupata awamu ya pili; Kwa sasa msitegemee.

Nasubiriri kuons zipi zitakuwa hoja za CDM wakati was uchaguzi maama mmeamua kunyanaza na kuunga juhudi Kwa style ya maridhiano.

2025 CDM hamna cha kutueleza. Ukweli utabaki pale kuwa CDM ililuwa enzi za Dr. Slaa.

Kwa mtazamo wangu sidhani kuwa wale wataka uraisi 2025 wamedhibitiwa ndio maana wametulia isipokuwa walikuwa wanapima upepo na wakafaniliwa kumjua mpinzani wao. Hivyo Kwa sasa wameamua kukaa kimya wakisubiri muda muafaka
 
Ni mtazamo pia...
 
IBAKI KWENYE KUMBUKUMBU KWA AJILI YA REJEA: "Nimeahidi katiba mpya na itakuja. Tunataka tukajenge taswira ya Tanzania iliyoasisiwa... Nilisema mwanamke ni kujiamini, na mimi najiamini. Hivyo, katiba na mengine yatakuja bila chenga maana na mimi najiamini," Rais Samia (19.3.2023)
 
Back
Top Bottom