Road licence kuwekwa kwenye mafuta sio uamuzi sahihi na athari yake ni kubwa zaidi ya tatizo

mbona ewura tunawalipa kwa kila lita na hujalalamika..hizo mashine na generator ewura wanahusoka naz???!!...huu mfumo ni mzuri kwa nchi nyingi sana na uko poa tu...achen mawazo ya kimaskini...
Wacha kodi ukusanywe nyie daini huduma bora ya kodi zenu tu baasi
 
Back
Top Bottom