Road licence Kufutwa

Ndio maana yake nikilipa sasa wakati nitaendelea kulipa kila nitakaponunua mafuta uoni huo ni ujinga.

Mkuu hii ndio tutalia zaidi.......kupitia mafuta ndio tutaumia zaidi........wanatujua watanzania....hatujali....kama PAYE tunakatwa lakini haituumi utadhani tunalipiwa na mwajiri.......

Fikiria waongeze hata 300 kwa lita.....kama unatumia lita 5 kwa siku utalipia 1500 then kwa mwaka Approx 540,000
 
Sasa watabebeshwa mzigo wanaonunua mafuta kwa ajiri ya matumiz mengine kama kuendesha mitambo, majenereta

nafikiri hii habari sio sahihi.

unless kama kuna maelezo ya ziada
 

Yani unatembelea gari ina plate no feki halafu eti na wewe unajiita mjanja badala ya kujiita mjinga. Au ni gari ya wizi. Kwanza napoteza muda gari yenyewe hujui hata bei yake hujui na hujui kama hujui du!
 

Maisha yanazidi kuwa magumu,bora road licence 100 times,
 
Ha ha ha ha Nantes kama wewe huwezi mimi naweza na kwa taarifa yako leo nimepada bila kinyongo wala hiyana ebo nani kakwambia usichoweza wewe na wengine hawawezi.

watu wengine waoga sana,siwezi nikapanda daladala kwa ajili ya hiyo
 
Last edited by a moderator:
Yaani road licence imaeisha May 2014 unaogopa kuendesha? Aissee wewe ni mzalendo. Yaani kama ni mie hilo naliendesha mbele ya mkuu wa ma trafiki duniani na hanikamati.
acha kuwadanganya watu, watu wakikusikiliza wataumia... usikute hata hilo gari hauna, yaani hata mkweche hauna haujawahi kuota...
 
Sema hakyamung.............
 
Kero yangu kwenye kulipa road license ni ile cost ya fire, halafu hakuna chochote unachopata kutoka fire department
 
Sasa watabebeshwa mzigo wanaonunua mafuta kwa ajiri ya matumiz mengine kama kuendesha mitambo
Yaani hapo abiria wa mabasi ndo watakuwa wanalipia road licence..

Sasa, sisi ambao zinaisha January 2015 itakuwaje?
 
kwa nini hatakukamata nijuze na mimi nijue

Iron Lady road license ikiwa imekwisha sio kosa la kukamatwa na traffic kwa sababu fine utaenda kulipa TRA siku utakapokwenda kuilipia watakachofanya ni kuangalia ilisha muda gani. So traffic akikusimamisha na kukuambia road license imekwisha muambie sio kazi yake ni kazi ya TRA.


Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
tunakatwa road toll kila ununuapo mafuta,zinaenda wapi? Tunalipa road license kila mwaka,zinaenda wapi? Kuna tofauti gani kati ya kodi hizi 2?
 
ukikamatwa wewe piga lugha ya malkia mwanzo mwisho tena ile ya kuminya ulimi na hiv wengi wao ni vilaza utasikia MISS IRON LADY GO!

Mkuu siku hizi wengi ni magraduate wanasoma OPEN kama hawana akili nzuri.


Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
ukikamatwa wewe piga lugha ya malkia mwanzo mwisho tena ile ya kuminya ulimi na hiv wengi wao ni vilaza utasikia MISS IRON LADY GO!

AHAAAAA kumbe hilo tu. sasa je hili ndilo Kongosho alilomaanisha?
 
Last edited by a moderator:
Yaani road licence imaeisha May 2014 unaogopa kuendesha? Aissee wewe ni mzalendo. Yaani kama ni mie hilo naliendesha mbele ya mkuu wa ma trafiki duniani na hanikamati.

Ya kwangu iliisha 2008 na mpaka leo nadunda na corolla yangu kama kawaida...! Road Licence ni sawa sawa na ile iliyokuwa inaitwa "kodi ya kichwa"...! Ni wizi tu...!
 

haah haah kwii kwii
 
Mkuu Kiriku siku hizi utawakuta traffic wakiwa pamoja na mijamaa ya TRA na ile mijamaa mingine ya fire yaani Tanzania kuna kodi nyingi hadi kichwa kinauma.

 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…