Nilikutana na barabara kama hii huko Asia na nilijipa ahadi kuwa sitokubali tena kusafiri kwa barabara kama hii. Hadi leo nakumbuka nilivyokuwa nikijibana na jirani yangu kwani nilikaa kiti cha dirishani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.