donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
haha, ni kweli mkuu kuna ambiguity flan hiviMkuu ujumbe tata huu...unataka tuelekeze mawazo wapi!
hujaangalia vizuri nn mkuu?Nikajua Rizla za mambo yetu yale... ya Jamaica:majani7:
hahaha mkuu wengine tunatumia kikoheee basi mie nikajua uruguay wametoa rizla mpya na za kixaxa
xio tena kuchubua za sigara umenisononesha sana
ebana eeeh mkuu nchi gani hii?
nahuu nao ni muundo mpya wa rizzla?
kitu ya kupigia cha ARUSHA.Khaa rizala ndio nini?
Hizo apo juu zimekaa kama bigjii vile!!!
hahah, umeulewa mkuu?nahuu nao ni muundo mpya wa rizzla?
hehe, hujakosea sana.Mweee nlivyokuja mbio...
kitu ya kupigia cha ARUSHA.
Kunywa safari lager Hulu ukifurahia jagwa bola kusahau chimbwanga na ule mjani lager pembeni
Nalog off