Riz"One" mtoto wa Mzee wa Kaya

Status
Not open for further replies.
Haya ni matusi, administrator wafungie watu wa aina hii. Humu ndani weredi ni wengi ni bora zaidi kubishana kwa hoja. Kama hana la kuchangia kuhusu hoja hii ni bora kukaa kimya ni kama una chuki binafsi dhidi ya Ridhwan
quote_icon.png
Originally Posted by macho_mdiliko
Huyu siku hizi jina lake ni Uday Saddam Hussein al-Tikriti wa Bongo. Utafikiri ni copy ya yule mtoto wa Sadam kabisaaaaa

wewe ungekua mods humu kusingekarika.
 
nadhani we ndo utakuwa ****..umesema unamfahamu vyema ni wa kiume au wa kike???

acheni matusi, tusi moja ndani ya jamiiforums linaweza kubomoa taifa la leo na kesho kwani jukwaa hili husomwa na members zaidi ya elfu 19 wakiwemo vijana tunaowatengeneza kuwa viongozi wa baadaye. kwa mawazo yangu hiki ni kiashirio kwamba hadhi ya jukwaa itashuka tukitumia matusi kueleza hisia zetu.
 
wewe ni mlamba miguu. ni mmoja kati ya wale wanaoneemeka na ofa zake ndio maana unatetea malezi yake na utu wema wake. kama ndugu zake tu wa karibu wanamtaja kuwa mtu mnafiki, wewe unajuaje kuhusu wema wake?
elimu gani unasemea? hiyo ya kufanyiwa mitihani?
huo ndio ufala ukisikia. Mbeleko unayotaka kumbebea, huiwezi

Nashindwa kuwaelewa Namaki na Outlaw nani muungwana kati yenu naona wote mnatukana na kutoka kwenye mada kuu. mauaji ya kuangamiza jamii huanza na matusi. Unawezaje kujitambua na kujikosoa kabla hujajikosoa wewe wenyewe. Namaki na Outlaw mngekuwa watoto wa Rais kuliko Ridhwan ingekuwaje? tusimseme Ridhwan tu wakati wengine mna shauku ya kujinadi kwa matusi.

Kama ningekuwa hakimu kesi dhidi ya Ridhwan ningefuta kwani wanaotoa ushaidi wanatukana mahakamani badala ya kutoa vielelezo. Ni kesi ya kutungwa dhidi ya Ridhwan............ Ridhwan uko huru ushaidi haujitoshelezi.
 
Mkuu, kwani mwaka 2005 hii kanuni haikuwepo? Au 2005 walivunja kanuni leo 2010 ndo wamezinduka kuifuata? ...changanya na za kwako...

Kanuni na sheria huboreshwa na kurekebishwa kutokana na mahitaji ya wakati. Hapo mwanzo tulikuwa na chama kimoja na sasa ni vyama vingi huwezi kusema hapo mwanzo kanuni au sheria ya vyama vingi haikuwepo au haikujulikana. Naona fikra mbadala yuko sahihi japo naamini chama hakikatazi wagombea kukitumia chama husika kama ambavyo mgombea hakatazwi kutumia watu wa nje au wanafamilia kusaka wadhamini.
 
LIKE FATHER LIKE SON !!

hakuna cha kumlau mtoto hapa Baba mwenyew si munamuona?? yeye ni kujirusha tuuu mara leo nchi kesho nchii..yhakuna chochote zaid ya kutumia pesa za walipa kodi, huku nchi ikimshinda kwa kupelekwa pelekwa na makundi yake!!

Inshort, huyu jamaa hana ukomavu wa kusho kuesha nchii hii, kila kitu kabaribu haribu..angalia uchumi, angalia maisha ya watanzai wa kawaid yanazidi kuwa duni, angalia tabaka la matajiri na maskini linazidi kiuongezeka kila kukisha, angali ufisadi unvyozidi kukua huku wahuzika wapeta tu mataani, anga lia ujambazi na mauaji yanyozidi, angalia mishara ya wafanya kzai then compare na ile ya wabunge,wakuu wa wilaya,mikoa n.k nia aibu tupu..posho zao tu kwa siku ni zaidi ya mshahara wa mwalimu.

Hayo ni mchache tu...ni mengi tu ameyashindwa..SASA HIVI TUNAHIJA MABADILIKO ILI TUENDELEEB !!!
 
Wivu tu

mimi siwaelewi, mumemmshupalia mtoto wa mwenzenu. Kama nyie wazazi wenu hawakupata nafasi ya kuwa marais, that is NOT Ridhiwans problem. LEAVE RIDHIWAN ALONE, shame on you all musiomtakia mema
 
Tanzania sio kuwa nchi ya kifalme, ni moja ya mambo ya kumshukuru Mungu kupita kiasi, hivi ingekuaje baada ya miaka kumi ya baba yake angekaa mpaka anakufa, halafu baada ya hapo mwanae anarithi naye mpaka ana....
 
Ngoja nimsaidie jibu ni [d], mi nilishawaambia hii familia ni limbukeni haikustahili hadhi iliyopewa kama familia yakiongozi mkuu wa taifa.

Angalia familia za marais waliotangulia ya Nyerere, Mwinyi na Mkapa mbali ya madudu yaliyofanywa na baba zao lakini watoto na familia hizo zilijua nini maana ya wazazi wao kuwa viongozi wakuu wa taifa. Wengine hata watoto wao hatuwajui si kwamba hawakuwa na uwezo wa kutumia madaraka ya baba zao, lakini kutokana na umuhimu na unyeti wa cheo hicho waliona si busara kuingiza mambo ya kifamilia ndani.

Nafikiri hii inatokana na mkuu wa familia anavyolichukulia jambo hilo, najua kabisa watoto wa Nyerere au Mkapa walivyokuwa wanapata ushauri toka kwa baba zao kwamba watenganishe kazi ya serikali (ikulu) na kazi za kifamilia yaani wazingatie masomo kwanza au wawe na shughuli zao tofauti kabisa.

labda familia yako ndio ilistahili kitu hicho ww ni Duanzi una akili ya kushikiwa na mgando....hata rais Bush babake mzee Bush akikuwa rais..hata pale kenya bana Uhuru ni mtoto wa mzee Kenyata....haya mambo yapo duniani kote acha chuki zako hizo za kumezeshwa na maskfu wazinzi kina slaa....
 
Wa Tanzania watu wa ajaabu sana,nina hakika wengi wanaondika hapa hawamjui huyu kijana kwa karibu ila wananukuu magazeti ya ajabu ajabu,sasa sikilizeni, mimi nimekuwa naye karibu sana katika matukio fulani fulani and this is my observation on him:Muungwana na malezi mema ana adabu kwa wakubwa zake na wadogo pia, hamwogopi mtu kwa jina au pesa zake.ana mwoogopa mungu,ni baba wa familia yake,amesoma hakubweteka na vyeo vya babake kwa maana sio kula kulala,kuwa mtoto wa Rais haina maana asijihusishe na maswala ya kijamii.
wivu unawasumbua acheni ufala

Hujui chochote na Usiwatukane Watu Wenye Akili zao Humu. Huyo Dogo alikuwa Ni Bonge La Mbwiga Kipindi hicho na Nakumbuka Pale Kitaa Kwao Kwa Nje Walikuwa Wakiuza Ice Cream na Mara Nyingi Ulikuwa Ukienda Kununua Unamkuta Dogo Anauza au Dada Yake Binamu Aitwae Fatuma Niliyesoma Nae Shighatini Miaka Ya 1993 - 1994 Na Nakumbuka Huyo Fety Alikuwa ANABANDULIWA au ANAGEGEDWA na Njemba Moja Inaitwa Mzaba ambaye Hawaishi Mbali na Hapo Regency na Kijiwe Chake Kikubwa Dogo Kilikuwa ni Pale ktk Gereji Ya Baba Godfrey Victoria Nyuma Ya Kampuni Ya Ulinzi Ya KNIGHT SUPPORT na Tokea Dogo Mdingi aule Amewadharau Sana Washikaji ila ni Haji Peke Yake Ndiyo Hana Makuu na Habweteki na Anajichanganya na Mamentali Wa Long Time. Dogo Wenu Huyo Ni Bonge la LIMBUKENI na Atafute Historia Ya Nini Kiliwatokea Watoto Hawa Wa Marais Mafisadi Duniani:
1. Joseph Kongolo a.k.a FBI a.k.a Saddam Hussein Ni Mtoto wa Hayato Mobutu Seseseko Kuku wa Zabanga
2. Seif Ghaddafi Mtotot wa Hayati Muammar Ghaddafi
3. Arfi Mubarak Mtoto wa Aliyekuwa Rais wa Misri
Na Wenye Akili Tunajua Kuwa Mali Si Za Dogo bali Ni Za Mshua ila Tusome Alama za Nyakati.
 
Ataingia yeye! Anasikika mitaani atakuwa raisi wa Tanzania 2025

Wakati Akijipanga Kuwa Rais Muda Huo na Mimi Najipanga Kuanzisha Kundi Langu La UASI Mwaka Huo Huo. What a Coincidence!!!!!!!! Nitapambana Hadi Dakika Ya Mwisho Kumzuia Asiwe Rais Mwaka Huo na Ukizingatia Nina Mbinu Zote za Akina Che Guevara, Fidel Castro, Foudey Sanko, Joseph Kony, Laurent Nkunda, SELEKA na Anti Baraka.... Ni bora Tuongozwe na Boss Nigga Yule Chizi Wa Ilala Kuliko Huyo Dogo Wenu.
 
Wa Tanzania watu wa ajaabu sana,nina hakika wengi wanaondika hapa hawamjui huyu kijana kwa karibu ila wananukuu magazeti ya ajabu ajabu,sasa sikilizeni, mimi nimekuwa naye karibu sana katika matukio fulani fulani and this is my observation on him:Muungwana na malezi mema ana adabu kwa wakubwa zake na wadogo pia, hamwogopi mtu kwa jina au pesa zake.ana mwoogopa mungu,ni baba wa familia yake,amesoma hakubweteka na vyeo vya babake kwa maana sio kula kulala,kuwa mtoto wa Rais haina maana asijihusishe na maswala ya kijamii.
wivu unawasumbua acheni ufala

Mbona umehamaki hivo au we ni nyumba ndogo yake!
 
Hujui chochote na Usiwatukane Watu Wenye Akili zao Humu. Huyo Dogo alikuwa Ni Bonge La Mbwiga Kipindi hicho na Nakumbuka Pale Kitaa Kwao Kwa Nje Walikuwa Wakiuza Ice Cream na Mara Nyingi Ulikuwa Ukienda Kununua Unamkuta Dogo Anauza au Dada Yake Binamu Aitwae Fatuma Niliyesoma Nae Shighatini Miaka Ya 1993 - 1994 Na Nakumbuka Huyo Fety Alikuwa ANABANDULIWA au ANAGEGEDWA na Njemba Moja Inaitwa Mzaba ambaye Hawaishi Mbali na Hapo Regency na Kijiwe Chake Kikubwa Dogo Kilikuwa ni Pale ktk Gereji Ya Baba Godfrey Victoria Nyuma Ya Kampuni Ya Ulinzi Ya KNIGHT SUPPORT na Tokea Dogo Mdingi aule Amewadharau Sana Washikaji ila ni Haji Peke Yake Ndiyo Hana Makuu na Habweteki na Anajichanganya na Mamentali Wa Long Time. Dogo Wenu Huyo Ni Bonge la LIMBUKENI na Atafute Historia Ya Nini Kiliwatokea Watoto Hawa Wa Marais Mafisadi Duniani:
1. Joseph Kongolo a.k.a FBI a.k.a Saddam Hussein Ni Mtoto wa Hayato Mobutu Seseseko Kuku wa Zabanga
2. Seif Ghaddafi Mtotot wa Hayati Muammar Ghaddafi
3. Arfi Mubarak Mtoto wa Aliyekuwa Rais wa Misri
Na Wenye Akili Tunajua Kuwa Mali Si Za Dogo bali Ni Za Mshua ila Tusome Alama za Nyakati.

.kila mtu ana histolia yake kaka hata ww unayo yako.ua ww ulizaliwa mang'aa? Wivu utawapa mimba.....
 
Wivu utawapa mimba.....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom