Wa Tanzania watu wa ajaabu sana,nina hakika wengi wanaondika hapa hawamjui huyu kijana kwa karibu ila wananukuu magazeti ya ajabu ajabu,sasa sikilizeni, mimi nimekuwa naye karibu sana katika matukio fulani fulani and this is my observation on him:Muungwana na malezi mema ana adabu kwa wakubwa zake na wadogo pia, hamwogopi mtu kwa jina au pesa zake.ana mwoogopa mungu,ni baba wa familia yake,amesoma hakubweteka na vyeo vya babake kwa maana sio kula kulala,kuwa mtoto wa Rais haina maana asijihusishe na maswala ya kijamii.
wivu unawasumbua acheni ufala

Unajua yaliyomkuta pale Formerly known as faculty of law???Wa Tanzania watu wa ajaabu sana,nina hakika wengi wanaondika hapa hawamjui huyu kijana kwa karibu ila wananukuu magazeti ya ajabu ajabu,sasa sikilizeni, mimi nimekuwa naye karibu sana katika matukio fulani fulani and this is my observation on him:Muungwana na malezi mema ana adabu kwa wakubwa zake na wadogo pia, hamwogopi mtu kwa jina au pesa zake.ana mwoogopa mungu,ni baba wa familia yake,amesoma hakubweteka na vyeo vya babake kwa maana sio kula kulala,kuwa mtoto wa Rais haina maana asijihusishe na maswala ya kijamii.
wivu unawasumbua acheni ufala
Ngoja nimsaidie jibu ni [d], mi nilishawaambia hii familia ni limbukeni haikustahili hadhi iliyopewa kama familia yakiongozi mkuu wa taifa.
Angalia familia za marais waliotangulia ya Nyerere, Mwinyi na Mkapa mbali ya madudu yaliyofanywa na baba zao lakini watoto na familia hizo zilijua nini maana ya wazazi wao kuwa viongozi wakuu wa taifa. Wengine hata watoto wao hatuwajui si kwamba hawakuwa na uwezo wa kutumia madaraka ya baba zao, lakini kutokana na umuhimu na unyeti wa cheo hicho waliona si busara kuingiza mambo ya kifamilia ndani.
Nafikiri hii inatokana na mkuu wa familia anavyolichukulia jambo hilo, najua kabisa watoto wa Nyerere au Mkapa walivyokuwa wanapata ushauri toka kwa baba zao kwamba watenganishe kazi ya serikali (ikulu) na kazi za kifamilia yaani wazingatie masomo kwanza au wawe na shughuli zao tofauti kabisa.
I hope Riz"One" huwa anapitapita hapa... ukiona mtoto wa rais tena kiongozi wa umoja wa vijana wenye nguvu, mjumbe wa mkutano wa chama tawala, kada na kamanda wa vijana tena mwanasheria, zaidi pia ni mdau wa klabu kubwa zaidi tanzania anachorwa hivi ujue ana matatizo makubwa na kama ana akili timamu basi akae pembeni na kushika moja...
A GOOD LIFE IS A PRODUCT OF A HUMBLE BEGINNING, AND ITS DEFINITELY KWAMBA THEY BOY HAS LOST IT
UNLESS NI ILE SMEARING CAMPAIGN KAMA KAWA INAMHARIBIA DOGO
Wa Tanzania watu wa ajaabu sana,nina hakika wengi wanaondika hapa hawamjui huyu kijana kwa karibu ila wananukuu magazeti ya ajabu ajabu,sasa sikilizeni, mimi nimekuwa naye karibu sana katika matukio fulani fulani and this is my observation on him:Muungwana na malezi mema ana adabu kwa wakubwa zake na wadogo pia, hamwogopi mtu kwa jina au pesa zake.ana mwoogopa mungu,ni baba wa familia yake,amesoma hakubweteka na vyeo vya babake kwa maana sio kula kulala,kuwa mtoto wa Rais haina maana asijihusishe na maswala ya kijamii.
wivu unawasumbua acheni ufala
sasa sikilizeni, mimi nimekuwa naye karibu sana katika matukio fulani fulani
wivu unawasumbua acheni ufala
Ridhwan nimesoma naye sheria pale chuo Kikuu cha dar es salaam ni kijana mnyenyekevu sana na rafiki wa wanyonge na mtetezi wa haki. Tulipokuwa chuo kikuu Ridhwan alionekena kuwa na msimamo thabiti linapojitokeza jambo lenye kuathiri maslahi ya wengi.Ridhwan alikuwa anajituma katika masomo na kufanya vizuri kama ilivyo kwa mtoto yoyote wa maskini. Ridhwan hana papala bali ni mkweli na hilo pengine ndilo mwiba mchungu kwa baadhi ya watu. Mara kadhaa anasema alisomea sheria ili kuwakomboa watanzania wanyonge. tumpe support kijana huyu na tumsaidia kumshauri pale ambapo atateleza kama ilivyo kwa binadamu yoyoyte yule.
Huyu mtoto ni hatari kuna member mmoja kasema anaweza kum cost baba yake, kachafua hali ya hewa UVCCM, kachafua Jangwani kawanyang'anya CCM fomu ya kutafuta wadhamini wa baba yake haya yote si haba katika duru za siasa.
Thanks mkuu..., ndio maana nikamalizia kwa kusema, "i hope ni smearing campaign tu!!!Ridhwan nimesoma naye sheria pale chuo Kikuu cha dar es salaam ni kijana mnyenyekevu sana na rafiki wa wanyonge na mtetezi wa haki. Tulipokuwa chuo kikuu Ridhwan alionekena kuwa na msimamo thabiti linapojitokeza jambo lenye kuathiri maslahi ya wengi.Ridhwan alikuwa anajituma katika masomo na kufanya vizuri kama ilivyo kwa mtoto yoyote wa maskini. Ridhwan hana papala bali ni mkweli na hilo pengine ndilo mwiba mchungu kwa baadhi ya watu. Mara kadhaa anasema alisomea sheria ili kuwakomboa watanzania wanyonge. tumpe support kijana huyu na tumsaidia kumshauri pale ambapo atateleza kama ilivyo kwa binadamu yoyoyte yule.
Huyu siku hizi jina lake ni Uday Saddam Hussein al-Tikriti wa Bongo. Utafikiri ni copy ya yule mtoto wa Sadam kabisaaaaa
Jamani tujiulize swali, Msauni alidanganya umri na kulazimika kujiuzuru nafasi yake ya uenyekiti wa UVCCM na Bashe anadaiwa kadanganya Uraia na hawa walikuwa viongozi wa UVCCM, je Rais angewapa kusimamia udhamini wasingedanganya? Kimsingi suala la kutafuta fomu sio la chama ni la mgombea binafsi na hii ni kanuni ya kuweka uwanja sawa na wa haki kwa wagombea. Kwa mfano, ndani ya CCM kungeweza kujitokeza wagombea wengi na kila mmoja anatafuta wadhamini hivyo sio haki kwa Rais aliyeko madarakani kuwatumia viongozi wa chama kumtafutia wadhamini kwani nafasi yake inaweza kuwanyima haki sawa wagombea wengine, kwa maana kwamba wanachama wa CCM wataelekeza nguvu yao zaidi kwa Rais anayemaliza muda wake kuliko wagombea wengine. Hapa ndipo umuhimu wa kila mgombea kutafuta watu wake linapojitokeza. Katiba ya CCM haizuii kumtumia mtoto au ndugu kutafuta wadhamini vivyo hivyo katiba za vyama vingine vya siasa isitoshe Ridhwan hakuwa peke yake alikuwa na vijana wengine 32. Wakati wa mchakato wa uchaguzi Rais naye ni mgombea kama wengine anajivua nafasi yake ili kutoa haki sawa.
Na huko kwenye law firm ( kampuni ya sheria) mngemzulia jambo kwani huko ndo angekuwa sio mtoto wa Rais?Huyu bwamdogo bora angebaki tu kwenye law firm ya kins Masha akaganga njaa siyo kujiingiza kwenye siasa ataishia kujichafua tu!
Haya ni matusi, administrator wafungie watu wa aina hii. Humu ndani weredi ni wengi ni bora zaidi kubishana kwa hoja. Kama hana la kuchangia kuhusu hoja hii ni bora kukaa kimya ni kama una chuki binafsi dhidi ya Ridhwan
Mkuu wa kaya anajaribu ku kompansate mapenzi aliyomnyima mtoto wake wakati wa utoto kwa kutumia ofisi yetu namba moja ya nchi.
Mapenzi yaliyokosekana utotoni hapatikani hata siku ya kuzikwa, mzee amechelewa anachofanya ni kujiongezea madhira na kuwpa watu cha kumsulubisha akiwa madarakani na vibaya mno atakapotoka ikulu. Kipofu toka lini akamuongoza kipofu mwenzake
Ataingia yeye! Anasikika mitaani atakuwa raisi wa Tanzania 2025
Luteni unatoka nje ya hoja, ni makosa kumlinganisha Ridhwan na watoto wa Nyerere, Mwinyi na Mkapa. sio jambo la kawaidia kwamba watoto wa marais watakuwa na mfumo mmoja wa maisha. Wapo wataokapenda siasa na wengine mambo mengine, kama vile udaktari,uhandisi, ugavi, wachumi. Kwa mfano, Rose kamili mke wa Dr Slaa ameonekana kujitokeza sana katika siasa za nchi na tunaamini anafanya hivyo kwa maslahi ya wote, je leo Dr Slaa akiwa Rais ungependa mama huyo kuwa bubu au aache kabisa kumshauri mume wake kwa sababu tu ni mke wa Rais. kwa taaluma Ridhwan ni mwanasheria, Rais Kikwete aache kuomba ushauri wa kisheria kwa mwanaye kwa sababu zipi? Lakini pia watoto wa marais wanazidiana weredi sio vema kuwalinganisha watoto wa rais mmoja na mwingine. Mwalimu Nyerere alikuwa mjamaa mbona hivi sasa uchumi wetu ni wa soko huria hauoni kulinganisha nyakati kwa kufuata nafasi za viongozi ni fikra nyepesi?