Riwaya Ya Kusisimua:Miss Bongo Movie Part -1

Feb 7, 2015
13
5
Ilikuwa Majira ya saa nane alfajiri wakati nilipopigiwa simu na mkuu wangu wa kazi inspekta Haruni Majimoto,ndo Kwanza Usingizi Ulikuwa Umeanza Kunoga wakati mke wangu aliponiamsha,Japhet,Japhet amka mume wangu simu inaita,mke wangu ambaye muda wote alikuwa amenikumbatia alinitikisa kichwa kwa nguvu hadi nikaamka,"mauaji mengine tena yametokea na safari hii tena ni mabinti wawili wasanii wa bongo movie wamekutwa wakiwa wamechinjwa kinyama ktk hotel ya Stokholm na wote wana alama za x vifuani mwao,fanya haraka uje Japhet,no time to waste",sauti yenye mamlaka ya inspekta Majimoto ilisikika ikiniamuru,nilivaa haraka nikaweka bastola yangu kiunoni na kuanza kuendesha gari kwa kasi nikielekea makao makuu ya polisi ambako inspekta Majimoto alikuwa ananisubiria,nilipofika magomeni kwenye mataa niliona pikipiki kubwa ikiwa nyuma yangu na abiria mmoja akiwa kavaa koti refu,nikiwa ktk hali ya kuwaza ni nani hasa alikuwa nyuma ya haya mauaji na kwa nini yalilenga warembo wa bongo movie tu? ghafla.......INAENDELEA.
 
Unaweza ukawa unadhima nzuri lakini nimepata tabu kusoma. Ni vema ukazingatia alama zote za uandishi katika makala ama chapisho zako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom