Kivipi wewe ulileta riwaya bila kuwasiliana na mtunzi kwa hiyo tumeamini sasa kwamba hii riwaya ulikuwa unaicopy mahala bila idhini ya mtunzi alipojua Kasitisha na wewe ukawa huna ujanja, sasa kwa nini ulikuwa hutoi credit kwa mtunzi mwanzo wa story??Wakuu samahanini kwa kuwakatisha uhondo na kuwasababishia arosto..kiufupi ni kwamba nmewasiliana na mtunzi wa riwaya na amesema amekatisha riwaya kwa dhumuni la kutoa kitabu hvyo bas nasubir akishatoa kitabu ntakuwa nkiendelea kuwaletea muendelezo hapa kwa kutyp...hvyo naomben muwe watilivu kidogo cjawatenga bado ila kama arosto ikikaba xana kuna kitu kikali kipo mwanzo mwisho mnaeza mkakisoma kupitia link hii hapa Riwaya : Noti Bandia....!! Mwanzo-mwisho. Huku hakuna Arosto.
Una uhakika?huon mwanzo wa riwaya nimeandika mtunzi wake ni Kelvin Mponda?Watanzania wengi mkiambiwa ukweli mnapanicKivipi wewe ulileta riwaya bila kuwasiliana na mtunzi kwa hiyo tumeamini sasa kwamba hii riwaya ulikuwa unaicopy mahala bila idhini ya mtunzi alipojua Kasitisha na wewe ukawa huna ujanja, sasa kwa nini ulikuwa hutoi credit kwa mtunzi mwanzo wa story??
Mm xjapanic mkuu nakuwa mvumilivu nakungoje tu plssss naomba usiniangushee tuUna uhakika?huon mwanzo wa riwaya nimeandika mtunzi wake ni Kelvin Mponda?Watanzania wengi mkiambiwa ukweli mnapanic
mkuu sijapanic nimeuliza au alama za kuuliza hazionekani?? Anyway umeleweka BT kosa lako ni kuanza riwaya bila kupata maelezo ya mtunzi ana mipango gani nadhani kama haya maelezo yangetolewa mwanzo wa riwaya kuwa haitafika mwisho hakuna ambaye angelalamika humu maana kwanza hakuna aliyekuwa anakulipa ulikuwa unajitolea tu na kupoteza muda wako kwa Ajili yetu, siko hivyo na usinichukulie hivyo me ni muelewa sana na wala siyo MTU wa kupanic hovyo yaani kupanic kwa sababu ya riwaya?? Hadithi ya kutunga?? No cko hivyo me nilitaka pia uyaone makosa yako na kukiri kuna mahali hukufuata taratibu ni hilo tu Weekend njema boss mwamba cUna uhakika?huon mwanzo wa riwaya nimeandika mtunzi wake ni Kelvin Mponda?Watanzania wengi mkiambiwa ukweli mnapanic
Acha ujinga wa kukoti uzi wote unaboaDuuuh hataree sana
Anaudhi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na hii arosto ya kijasusiAcha ujinga wa kukoti uzi wote unaboa
Ngoja niipitie mkuu halafu nakuletea feedbackelmagnifico hebu angalia mwandishi alivyokua akielezea..