Riwaya: The Football

Umaarufu tu bila kuona faida nzuri ya kazi yake zaidi ya kujulikana?
[emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Huyu Patrick humu jf tusingemjua bila LEGE mwanzoni kabisa alituletea story ya peniela ndio kujua kuna mtu anaitwa Patrick akatuletea na story nyingine LEGE huyohuyo kwahiyo awe mpole tu ndio kujitagaza sio kutishia tishia watu humu
Jamani muda mwingine tuwe na roho za utoaji. Tumesoma story nyingi sana za Patrick Ck kipitia kwa #LEGE. Nafikiri sasa hivi tutakuwa tunamjua Patrick CK ni nani hasa. Sidhani kama alifikiria kuandika riwaya hizi zote kwa lengo la kujulikana tu. Anatumia muda na rasilimali nyingi kutengeneza kazi yake. Fikirieni atarudishaje rasilimali na muda aliotumia..

KAMA HAJATOA RUHUSA.... PLS MLETA RIWAYA SITISHA TU. MADAM TUNA MAWASILIANO YAKE
 
JF ingeanza kuwalipa waandishi baada ya kujiridhisha na uandishi wao/Kazi zao manake wanaongeza idadi ya members!
 
Ujuaji umekuwa mwingi sana kwa baadhi ya members wanaosoma hizi hadithi, hii tabia inaboa sana
 
Kipindi JF ilipofungiwa na tcra tulihamia huko kwenye forum ya Kenya.Huko ndiko nilipoweka muendelezo wa hiyo riwaya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…