ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,286
- 19,463
Njema kbs nipo nakesha hapaNiko poa mm habari ya uzima jamani
KashaunganishaAnazingua sana
nimeimaliza Tater asante
Naomba nitag kwenye episode zingine nazitafuta sizioni, japokuwa jana niliziona!Kafungua thread tofauti tofauti kila episode
Kashaziunganisha zoteNaomba nitag kwenye episode zingine nazitafuta sizioni, japokuwa jana niliziona!
Acha sie kina yakhe tuule wa chuya😣😣Ukiwa mpnz wa riwaya usiogope kulipia ili usome kwa uhuru pasipo kukutana na arostoView attachment 938395
Asante bebe nimefika