Riwaya : Noti Bandia....!! Mwanzo-mwisho.

Riwaya : Noti Bandia....!! Mwanzo-mwisho.

SHAMAC

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2017
Posts
1,340
Reaction score
3,562
Kwa wale wapenzi wa riwaya karibuni sana. Nikiwa mdau wa mambo hizi nimeona nishee moja ya riwaya amabayo nimeikuta mahali lakini sijaitunga mimi jamani niwe mkweli. Nimeona si vibaya tuka share starehe na utamu kama huu na wanajukwaa...!! Ipo mwanzo mwisho, hapana kuishia kanisani..!!

Kwa bahati mbaya nilipost thread mbili muda mmoja...... Niliyopost Riwaya ipo hapa Riwaya : Noti Bandia....!! Mwanzo-mwisho.

Mods unganisheni hizi Nyuzi
 
Kwa wale wapenzi wa riwaya karibuni sana. Nikiwa mdau wa mambo hizi nimeona nishee moja ya riwaya amabayo nimeikuta mahali lakini sijaitunga mimi jamani niwe mkweli. Nimeona si vibaya tuka share starehe na utamu kama huu na wanajukwaa...!! Ipo mwanzo mwisho, hapana kuishia kanisani..!!
Ipo wapi sasa?
 
Thread Za Kitoto Sana Iz Watu Kama Nyie Mnatakiwa Mpige Burned La Maisha
 
Thread Za Kitoto Sana Iz Watu Kama Nyie Mnatakiwa Mpige Burned La Maisha

Hhahahahh..!! Samahani wandugu nilipost thread mbili muda mmoja.,, Ipo nyingine yenye jina hili ndo nimepost....!! Inaendelea,, Nimeiacha hii kwa sababu nimeshindwa kuifuta....!! Very sorry ila wew jamaa umenichekesha sana na bora hujatukana......

Njoo hapa Riwaya : Noti Bandia....!! Mwanzo-mwisho.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom