Shukrani mkuu, story nzima ipo nina wasiwasi nikiiweka yote kwa pamoja kama itawachosha kusoma. Ila kama mtaridhia sita shindwa kuimwaga yooote mjinafasi kwa raha zenu,mna maoni gani? Nasuburi maoni yenu.
Mimi nimesoma haya mavitabu ya hadithi mpaka basi. Kina Ben Mtobwa, sss Simbamwene, Hammie Rajabu Musiba mwenyewe vote vi4....lakini vyooote kilichonishika ni Sofia wa Gongo la mboto. Pili pilipili na pumbazo la moyo....dah kitambo kweli
Sana mkuu yaani sina maneno ya kuelezea shkuraniz angu kwa kutuletea tena riwaya hii ambayo niliisoma nikiwa mdogo an sasa nimepata nafasi ya kuisoma tena...imekuwa kama mpya!
yaani siweze kusubiri mambo ya HOFU na uninja wa Willy Gamba ndani ya Arusha!