Riwaya: Najisikia kuua tena

Mambo ndo kwanza yanazidi kunoga......tuwemo
 
Joram kiango hoi hajitambui, shughuli ya kwame ni nzito, yapoje mambo haya......tuwemo
 
hapo sasa m2n leta vitu,Joram Kiango balaa
 
alsante m2n. nitajitaji zaidi story za Ben R. Mtobwa na Joram kiango wake kuweza kumlinganisha na Elvis Musiba na Willy Gamba wake.

naamini musiba ni noma.

enhee epsod inayofuatia ni ipi?
 
Aminia sana m2n, ombi kwako tuletee tena Joram Kiango
 
Last edited by a moderator:
Nakumbuka riwaya yke kila nikiisoma huwa siichok mkimbizi
 
Shukrani kwako ndugu sizizo na mwisho

Riwaya hizi tulikuwa tunazisoma zamani tukiwa wanafunzi na zilitupa hamu kubwa sana ya kusoma na kutafakari kitabu. Pia zilikuwa zinaandikwa katika misingi ya kujenga uzalendo kwa kiasi fulani.
Watunzi wa filamu wa Bongo wangeweza kutumia simulizi hizi na kuandaa filamu ingewasaidia sana.
 



ni noumaaaa
 
mbona kimya m2n,tuletee nyingine ya joram kiango
 
m2n haunaga longolongo.
Ukiamua kushusha mzigo,unaushusha wote.
Unajua thamani ya burudani.
Hutukwazagi hata kidogo.
Big Up man!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…