Riwaya: Najisikia kuua tena

Riwaya: Najisikia kuua tena

M2n...Nimekuaminia,yaan mzigo upo kamili na ni wa ukweli vibaya sana...shukrani sana kwa burudani.wapi willy gamba 1??
 
Shukrani sana chief, umepiga mzigo mwanzo mwisho... Natumai soon utatuletea Kisa kipya cha Joram Kiango
 
Mkuu m2n nakuaminia,saluti kwako.
Hunaga makuu.
Chukua MILLION LIKES hizo.
Huboagi wasomaji.
Ukiamua kushusha mzigo unaushusha mwanzo mwisho.
Pongezi nyingi sana.
Tuwemo..!!
 
huu utaratibu wa kuziandika hizi riwaya sio mzuri kabisa aisee.coz vitabu vipo vinauzwa fanyeni nunueni vitabu kuwasaport waandishi wetu?? swali nyie mnao andika mnapata ruhusa kutoka kwa wahusika??.

sio vizuri aiseee.
 
wengi wetu tupo mikoani kuvipata si rahisi hivyo tunajifunza kupitia JamiiForums shukrani wanaotuletea,shida iko ndugu LEGE
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom