Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,672
Abdul akiwa ameshangazwa na kitendo hicho cha mwalimu mlemavu kutembea karibu kilometa tano toka Bagamoyo mjini hadi hapo, alijikuta akishawishika kumpeleleza. Abdul, kwa mwendo wa kunyata, alimwandama mwalimu wake hadi mbele ya pango au chumba chenye kiza zaidi. Hapo asingeweza kuendelea zaidi. Alijificha nyuma ya nguzo ya nyumba hiyo na kumshuhudia mwalimu wake akiwasha tochi na kisha kujitoma ndani. (Kazi nyingine ya Ben R. Mtobwa.
Nakipitia tena MWALIMU MWENYE MKONO WA BANDIA).