mvumilivu hula mbivuuuu
nmekumbuka mpaka nyimbo ya banana zoro "subira yangu ndio iliyoniponza ngojangoja naonekana mjnga kwa sababu niliipenda story kweli
yaan nimekuja mbio nikajua washaweka muendelezo kumbe holaaaaaa
yaan nimechoka balaa bibie shunnie na madam s mkuje huku mnisadie kutoa arosto hii