Alex kileo
Member
- Jul 29, 2015
- 6
- 37
Asante ndugu yanguMkuu Alex karibu sana ...
wenyeji wako kina Shuu na
the legend...prison of hope ..nk
Watasubiri sana...
Sema unataka nini kitokee katika episode inayofuata, au niweke jina lako ndio uamini?Inabidi ahakikishe japo kwa kuachia episode inayofuata
matomaso achana nao gizan yataka hisia ama mkono kupapasa,twende kazi mkuu kileoSema unataka nini kitokee katika episode inayofuata, au niweke jina lako ndio uamini?
Relax mkuu,hii ni sehemu ya burudani,matomaso achana nao gizan yataka hisia ama mkono kupapasa,twende kazi mkuu kileo
Za mbayuwayu changanya na zako!!!Kuna group wanadai hii story ulikuwa unacopy nje ya nchi na kuitafsiri, mtunzi kasimama kuendelea, nawe huna uwezo wa kuendelea hata nusu episode. nimebaki njia panda
Tunashukuru sana bwana AlexHata msijali, tutaendelea tu, tena nitakuwa napost na huku ili twende sawa
Fanya kweli mkuu, the sooner the better...Hata msijali, tutaendelea tu, tena nitakuwa napost na huku ili twende sawa
Hammie Rajabu
Aristablus Elvis Musiba
Jackson Eric Kalindimya
Ben Rashid Mtobwa
Eddie ganzel
Euphrase Kezilahabi
John Msimbe Simon Simbamwene
Penina Muhando
Hapatakuja kutokea Vichwa kama hivi Tz
WatajeUmesahau na wengine
Mkuu we acha tu,, wanasema mvumilivu hula mbivu ila naona sisi hata zilizooza hatuzioni ili tuache kuvumiliaaKama kuna kulipia sehemu iliyobaki tuambie ndgu mtunzi
Ahaaaaaaaaa!!Mkuu we acha tu,, wanasema mvumilivu hula mbivu ila naona sisi hata zilizooza hatuzioni ili tuache kuvumiliaa
Memory card cjaisoma cjui nayo utakuw imeishia katkat huko maana hawa watu wanatuonjesha tu na kutuacha katkat bila kutoa msaadaNimeanza kusoma jana nilizani imeishaa kumbe alosto inaanzaa, samahani wakuu nisaidieni kupata hadithi mbili zilizoendelezwa na hii ikiwemo memory card nimeshindwa zipata