Riwaya: Mkono Wa Chuma

Hivi shida nini simulizi za humu nyingi hazifiki kikomo? Walau wangekuwa wanatoa mrejesho kwambo palipobakia kuna utaratibu wa kuchangia gharama ili watakaomudu wachangie kuliko kuishia ewani pasipo taarifa. Ina kwaza kiukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambieni hata sisi tusio na access na huko anakoweka tunampa mkono wa heri.
 
Woyooooo tupo tunavumilia arosto mwambie


Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂🤣umenishinda tabia ndugu yangu.
 
Heshima yenu wakuu. Kwanza poleni na pia samahanini sana kwa kuwaacha kimya kimya kwa muda mrefu bila taarifa rasmi. Majukumu mengine yalinibana, na hivyo sikuweza kabisa kujumuika nanyi hapa jukwaani, ila sasa nimerejea.

Riwaya ambazo nakumbuka hatukufika nazo mwisho bila shaka ni mbili, yani 'Mkono wa Chuma' na 'Mtoto wa Baba Paroko'. Kwa upande wa mkono wa chuma nimeona mkuu SPYMATE ametoa taarifa hapo juu, na ni kweli hayo ndio maelezo ya huyo Alex Kileo mwenyewe. Kabla sijapotea jukwaani nakumbuka nliwahi kumcheki kwenye simu kumuuliza kama anaiuza sehemu iliyobakia, nkiwa na lengo la kuinunua na kuileta hapa, ila alisema 'haiuzwi' na akaahidi tena kua ni lazima ataiendeleza mpaka mwisho, pindi atakapomaliza changamoto zake 'personal' zinazomkabili. Baadae ndio akaleta hiyo taarifa kama ilivyowasilishwa hapo juu.

Kwa upande wa 'Mtoto wa Baba Paroko' nlifanya pia mawasiliano na mtunzi mwenyewe Lello, akasema hiyo itaendelea kama kawaida, na wala haitakua kwenye kitabu. Isipokua kwa sasa anabanwa na zoezi la kuandaa kitabu cha 'Mimi na Rais (the President and I)', na punde atakapomalizana na hilo zoezi atapata wasaa mzuri wa kuiendeleza 'Mtoto wa Baba Paroko'.

Hivyo kwanza niwape pole ya arosto ya muda mrefu, lakini pia niwaombe tuwe wavumilivu wakati tukiendelea kusubiri muendelezo wa hizo riwaya. Tuko pamoja wakuu
 
Nilivyoona tu the_legend Nimewahi chaaaap


Asante kwa kutupa pole ya kusubiri lkn pole na wewe pia. (BQ anaendeleaje na X afande jee,?
)

Basi sawa tupo tunasubiri sisi hatuna neno
 
nilitegemea marybaby lazima utakua wa kwanza kureply, i really missed vituko vyako. Asante kwa kunipa pole pia
Nilivyoona tu the_legend Nimewahi chaaaap


Asante kwa kutupa pole ya kusubiri lkn pole na wewe pia. (BQ anaendeleaje na X afande jee,?
)

Basi sawa tupo tunasubiri sisi hatuna neno
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…