Eeeh! Naona shunie umekuwa wa kwanza kumpa pole ibra87 yaani unatembelea huu uzi mara kwa mara, ila mkuu ibra87 ungesema mapema nasi tukuombee safari njema