Blaki Womani said:Mkuu ninacholeta hapa huwa mwandishi ni Mimi mwenyewe kwahiyo AMA zao miye sio niliyekiandika.
Beeh ibra nasoma tu apa
hapana Shem ulichokisoma na utakavyoendelea kusoma nimeandika Mimi.[/QUOTE]shem nimefikiri umekopi mahali daaah speechless!!!!!
[QUOTninacholeta post: 17563893, member: 268654"]Mkuu ukimaliza hii kuna moja ilikua inaitwa Ama zetu nmesahau jina ni Ama zangu au Ama zetu utanirekebisha kama nimekosea ya longi kidogo
Subiri mkuu utajua
Thanks
Ndio nachomoka muda huu nawaahidi kesho nitashusha 4
Dah! Mkuu huyo binti kwenye avatar yako nimempendaNdio nachomoka muda huu nawaahidi kesho nitashusha 4
Aisee!Cover photo ya kitabu changu HIYO