Sehemu ya 20 (MWISHO)
Tangu hapo niliitwa angle Na jina la anna lilifutika
kichwani wangu mpaka nilipokuja kuonana Na Geb
katik moja ya kasino mara ya kwanza mpaka
kuniambia anamchumba roho iliniuma sana ila yote
ni kwa sababu geb alikuwa hajui kama alikuwa
akiongea na mtu ambaye alikuwa akimchoma sana
moyo wake, Geb samahani kwa yote yatakayo tokea
mahali hapa ila huu ndio uhalicia wa maisha yangu
mimi ndiye anna wako niliyetolewa kizazi kwa ajili
yako nimefanyiwa mengi yakudharaulika kwa ajili
yako ilakubwa nililokuja kusema ni shukrani za dhati
na kuwatakia maisha mema……………
Mara ile screen ilizimakila mtu ndani ya ukumbi ule
alikuwa ameshachoka kila mtu alimuonea huruma
anna kwa tabu alizopitia mpaka alipofikia kwao
ilikuwa simulizi yenye kuumiza mno ila ilimuumiza
zaid anna na Geb ambao ndio walikuwa wahusika
wakuu Geb alitazama huku na kule kuona ni wapi
angeweza kumuona anna lakini anna alikuwa
amekwisha ondoka ndani ya ukumbi ule, alimtafuta
kwa simu yake ya mkononi mara kadhaa iliita ila
baadae ilikata na kuzima kabisa hata alipo piga
aliambiwa simu anayopiga haipatikani,alimtafuta
bila mafanikio wakati bado anaangaika kumtafuta
anna kwa simu yake ghafra alishikwa bega na mtu
siye mjua
“samahani m naitwa mr lamek” alijitambulisha
lamek huku akimpa mkono geb ,
” bila samahani “
“mimi ndiye lamek niliyekawa naongelewa mahali
hapa ni kweli nimemkosea sana angle nilikuwa
nakuomba unisaidie walau kuniombea msamaha
kwa kosa la kumbadilisha sura yake “ aliongea
mengi lamek hakuacha kuelezea juu ya ukweli alio
kawa ameuweka siku nyingi ndani ya moyo wake
mwisho wa siku alimchukua Geb na kumkutanisha
na anna ambao walisameheana na kuombana radhi
kwa kila chembe waliyokoseana na kufunga ndoa
kisha wakaanza maisha yao upya wakiwa kama
baba na mama na kwa kuwa anna alikuwa hana
kizazi hivyo hawakuwa na matumaini ya kupata
mototo hivyo wakaomba mtoto katika kituo cha
watoto yatima na kumlea kama mototo wao na
kusahau kabisa maisha ya awali ikiwemo na kufuta
taswira ya misukosuko yote waliyopitia katika
maisha yao.
JIFUNZE MAISHA SIO MTEREMKO KAMA
UNAVYOFIKIRIA LEO UPO KWA WAZAZI AU WALEZI
WANAKUPA KILA UNACHOKITAKA UWEZI KUONA
MTIKISIKO WOWOTE HATA KAMA BABA ASIPO
ACHA PESA YA CHAKULA KWAKO LAZIMA
UTAKULA KWANI MAMA ATALIPIGANIA TUMBO
LAKO ILI UWEZEKULA, ILA UTAKAPO ANZA
KUSEMA LEO NATAKA NISIMAME PEKE YANGU
EIZA NA MUME, MKE AU MPENZI NDIPO
MAJARIBU MENGI HUANZA KUTOKEA ILA YOTE NI
KATIKA NAMNA YA KUZITENGENEZA NAFSI ZENU
JUU YA UVUMILIVU………………!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ANGALIZO KILA KINACHO TOKEA KWAKO LEO HII
KILISHAWAHI KUTOKEA MIAKA YA NYUMA
MWISHO!!!!!!!!!!!!!!!!