Riwaya: Kikosi cha Kisasi

pole sn kibajaji
 


Ukishusha mzigo mpya nitag aisee kibodaboda....!!!
 
K
Mkuu naomba unielekeze nikanunue kesho
K/koo vipo vya kumwaga ubungo pia stend ya mabasi ya mkoa ndani pia vipo.posta tph pia vipo.k/koo zamani palipo kuwa na round about kuna maduka wanauza sana vifaa vya redio,laptop uyapata hapo kuna muuza magazeti kaweka na vitabu, kkoo kule kama shimoni pia utavipata,hapo kwenye msimbaxi kwenye club ya simba kuna muuza magazeti utavipata pia mkuu mi wewe tuu
 
Ukianza Uzi wa KIKOMO muhusika anitag na mm maana ndo alosto yetu
 
Tuko pa1 sana
 
Mkuu hii kweli au???
Mbona sijawahi kuviona popote na vilikuwa havipatikani kabisaaa ........
 
Yaan utadhani Leo ndo nakisoma kwa Mara ya kwanza. Nimetekwa kabisa aisee. Big up kibajaji na mkuu iddy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…