Mkuu iddy,cha kulalia basiSEHEMU YA NANE II & III
nipe yote Mtoro8 havanna Shokonzi Mbobo Guasa Amboni njoo kwetu
swahiba92 Jurecafe mwamba c mnadhimu mkuu wa jf finyango kisukari chenjichenji inabhanza zulu lima Mussolin5 Shunie Pancho panchilo LEGE Ls man Evarist Massawe Rich Pol Malafyale mtzmweusi Toyota escudo NYANYADO born again pagan Alfa Mwijumbe sirbuff MOI JOHN ngong'0 mwandende Thad URBAN MONKEY y-n Godwin123 Utotole bmy Kibajajitz tonier ngoma ya ukae desertambush jmapunda mwalidebe Dam55 kibuyu180 kulubule Al-Watan hotneedle Nemesis Johape Tumosa Majigoro Domhome Kyakukanwa Ghiti Milimo Keyzer Soze esau m ben10jr Ilankunda1234 Tyrone mofekeng Mzizi wa Mbuyu IBRABABRA king of zodiac ganja gal shinga Ighombe Kirchhoff madala mujipa allan david sam97 Hubeb KidNinja ADK
Tatizo mzuka mkuu,mimi nakumbuka zama hizo nikiwa shule ya msingi ndio nilisoma vitabu vya Musiba.Duuuh yani hamtaki hata kumpa muda wa kupumzika mwandishi?
Mwajiri mwenyewe naye nipo naye anaulizia kama iddy keshatupia episode inayofuata ndo tiffany kikaoMusiba ni hatari sana.
Kama umeajiliwa na unakitabu cha msiba kazini unaweza jisababishia matatizo na mwajili wako
Haaaahaaaah, nakubali maana hata nikiwa nasoma hii STOry mtu akiniongelesha daaah huwa sipendi we acha tu mkuuTatizo mzuka mkuu,mimi nakumbuka zama hizo nikiwa shule ya msingi ndio nilisoma vitabu vya Musiba.
Basi ilikuwa ikifika muda wa kula unaona tabu kuacha kitabu na kwenda kula.
Yaani ukishaanza kusoma hutaki kitu chochote kikukatize.
Itabidi nkutafute unifundishe kiswahili inaonekana ntakuwa mwanafunzi bora tutaongea kiswahili na watu wasielewe tutaongea Mimi na wewe tuuHao warembo kama nyaso (hofu )zawadi (njama )mwadi na tete (kikosi cha kisasi )ndio walikuwa chachu na ufumbuzi wa matatizo ya gamba.
Sijakupa vizuri hebu eleza kwa uwazi zaidi bibie kama umefumba fumba vileItabidi nkutafute unifundishe kiswahili inaonekana ntakuwa mwanafunzi bora tutaongea kiswahili na watu wasielewe tutaongea Mimi na wewe tuu
Tumo swahibaNawasalimia Wapigania ukombozi wote humu ndani kwa Hisani ya Mrembo Tete Hamjambo???
Safi sana nikutakie siku njemaTumo swahiba
Iddy uko vizuri endelea kushusha vituu. Mi binafsi niliisoma miaka hiyo sijui 92 huko umenikumbusha mbali sana aiseeSEHEMU YA NANE II & III
nipe yote Mtoro8 havanna Shokonzi Mbobo Guasa Amboni njoo kwetu
swahiba92 Jurecafe mwamba c mnadhimu mkuu wa jf finyango kisukari chenjichenji inabhanza zulu lima Mussolin5 Shunie Pancho panchilo LEGE Ls man Evarist Massawe Rich Pol Malafyale mtzmweusi Toyota escudo NYANYADO born again pagan Alfa Mwijumbe sirbuff MOI JOHN ngong'0 mwandende Thad URBAN MONKEY y-n Godwin123 Utotole bmy Kibajajitz tonier ngoma ya ukae desertambush jmapunda mwalidebe Dam55 kibuyu180 kulubule Al-Watan hotneedle Nemesis Johape Tumosa Majigoro Domhome Kyakukanwa Ghiti Milimo Keyzer Soze esau m ben10jr Ilankunda1234 Tyrone mofekeng Mzizi wa Mbuyu IBRABABRA king of zodiac ganja gal shinga Ighombe Kirchhoff madala mujipa allan david sam97 Hubeb KidNinja ADK
Tunaamka na kuchungulia humu hatuna hata hamu ya breakfast. ..tumeshashuhudua Mwadi akisulubiwa tunataka tuone zamu ya Tete..Duuuh yani hamtaki hata kumpa muda wa kupumzika mwandishi?