Faru_johny
JF-Expert Member
- Feb 8, 2014
- 343
- 305
Muuza ubuyu alikuwa busy na biashara!.. si unajua kwenye kusanyiko kama lile biashara ndo inatoka sana
Muuza ubuyu alikuwa busy na biashara!.. si unajua kwenye kusanyiko kama lile biashara ndo inatoka sana
Kwa adhabu aliyoipata Deus iwe fundisho kwa wote wenye tabia kama yake. Adhabu aliyoipat inamtosha bazazi huyu.
Kimsingi nimemchukia hata sitakwenda kwenye mazishi yake japo nitahudhuria harusi ya Roman. Nasubiri kadi ya mchango tu.
Sasa Casuit turudi kwenye roho mkononi.
Roho mkononi file lilipotea... Nkilipata tena itaisha....
Roho mkononi file lilipotea... Nkilipata tena itaisha....