Utaratibu wa sasa wa RITA wakutoa vyeti vya vifo ni kuumizana vichwa na kuwakwamisha watu, mtu anaomba cheti cha kifo cha mzazi wake, na alifari miaka 30 iliyopita mnataka aambatanise mukhtasari wa kikao cha familia sijui kibali cha maziko nk.
Hivi mtu anapata wapi muktasari wa kikao na anawaambia kabisa watu wote, umuhimu nao walishafariki, huko ni kukwamishana tu kwa kweli.
WEKENI NJIA MBADALA, KUNA VITU NI MUHIMU KAMA BARUA YA UTHIBITISHO TOKA SERIKALI YA MTAA NA KIAPO CHA MAHAKAMA, WENGINE HATUNASHIDA YA MIRATHI. UNATOA WAPI MUKTASARI WA KIKAO CHA FAMILIA JAMANI.