Carolinecoco
Member
- Aug 10, 2020
- 9
- 2
Yaan acha tu
Hata watu laki 1 sidhani kama wanafika ila pesa inaonekana inapatikana, ukicheck kazi yenyewe chenga tu.. maana kama vyeti vinatolewa na hakhao Rita sasa sijui kwanini wasipige muhuri toka mwanzo...!!!wakihakiki watu milioni 30 mara sh 3000 heaabu itasomeka hivyo
kiwanda kipya hichoView attachment 796204