RITA mnatukwamisha kuhakiki vyeti

RITA mnatukwamisha kuhakiki vyeti

Mchokozi wa mambo

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2014
Posts
201
Reaction score
160
Naitwa RUKIKO LAWRENCE tangu Jumatano nimetuma cheti changu cha kuzaliwa kihakikiwe kwa njia ya mtandao lakini mpaka sasa hakijarudi wala hakuna taarifa yoyote.

Wakati ukimaliza kufanya attachment na kutuma unaambiwa ndani ya siku 3 utapata majibu. Majibu mbona hamna leo ni siku ya 6 tunaenda?

RITA BORESHENI HUDUMA ZENU ZA MTANDAO TWENDE KWA KASI WENGINE TUNAENDA JKT HATUJUI TUNAFANIKIWA LINI KUOMBA MKOPO

Hata ukienda ofisi za RITA au wilaya unaambiwa uende mtandaoni sasa mbona hatuna msaada jamani tusaidieni
 
Wekeni website yao nasi tufanye ivyo
 
Wapi umeona unahakiki cheti kwa njia ya mtandao? Mi nilijuwa unaenda kwenye ofisi zao na ile kopi ya cheti chako pamoja na origin halafu wanagonga muhuri kwenye ile copy then unarud kwenye systeam ya loan board kuatach.
 
kiujumla mfumo uliowekwa na rita ni wa hovyo sana. kwa nini uhakiki wasipewe mamlaka rita ngazi za wilaya? cha kushangaza rita makao makuu wanalazimisha kuhakiki wao vyeti vya kuzaliwa vya nchi nzima. hii si sawa. rita ofisi za wilaya walitosha kabisa kufanya zoezi hilo.
 
Wapi umeona unahakiki cheti kwa njia ya mtandao? Mi nilijuwa unaenda kwenye ofisi zao na ile kopi ya cheti chako pamoja na origin halafu wanagonga muhuri kwenye ile copy then unarud kwenye systeam ya loan board kuatach.
Fuatilia mkuu au uliza mwanafunzi aliyemaliza mwaka huu utapata habari
 
Nimeingia na kujisajili,nimeambiwa nitume copy ya cheti na risiti ya malipo. Hapo kwenye malipo sijaelewa na unayalipa wapi?
PIGA Menyu yako simu mtandao wa TIGO, VODA AU AIRTEL
Mfano: VODA
*150*00#
CHAGUA 4 LIPIA BILL
CHAGUA 3 INGIZA NAMBA YA KAMPUNI
INGIZA NAMBA YA KAMPUNI AMBAYO NI 001001
WEKA NAMBA YA KUMB. YA MALIPO 991380097585
INGIZA KIASI 3,000/=
ENDELEA MPAKA MWISHO!
 
wakihakiki watu milioni 30 mara sh 3000 heaabu itasomeka hivyo

kiwanda kipya hicho
Screenshot_20180606-231947.png
 
Nimeingia na kujisajili,nimeambiwa nitume copy ya cheti na risiti ya malipo. Hapo kwenye malipo sijaelewa na unayalipa wapi?
Unatakiwa kulipia bank ya CRDB or NMB
Kisha una scan bank pay slip na cheti cha kuhakiki
Maelezo zaidi yapo
 
Eti hivi cheti unatuma copy au unascan originals. Hebu nisaidieni hapo coz nataka kutuma ili kuhakikiwa rita na vipi majibu yaweza kutoka kama baada ya siku ngapi naona hapa tumepewa mwisho Jumapili.
 
Eti hivi cheti unatuma copy au unascan originals. em nisaidieni hapo coz nataka kutuma ili kuhakikiwa rita na vipi majibu yaweza kutoka kama baada ya siku ngapi naona hapa tumepewa mwisho jumapili
Unatuma copy, majibu ni mpaka siku tatu na Kama upo Dsm ni bora ungeenda RITA kabisa.
 
Back
Top Bottom