shaqoor-hussein
Member
- Oct 10, 2020
- 16
- 1
Habari za muda huu wakuu,
Ninaomba msaada juu ya jinsi ya kuandika:
Naombeni mnisaidie kupata format ya nyaraka hizi kwa sababu nina wiki moja tu ya kuomba mkopo. Msaada wenu utanisaidia sana.
Ninaomba msaada juu ya jinsi ya kuandika:
- Muhtasari wa kikao cha familia ulioshirikisha wanandugu wasiopungua saba pamoja na nakala za vitambulisho vyao.
- Kiapo cha mahakama.
- Muhtasari wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Kata ikithibitisha kutokea kwa kifo.
Naombeni mnisaidie kupata format ya nyaraka hizi kwa sababu nina wiki moja tu ya kuomba mkopo. Msaada wenu utanisaidia sana.