RITA acheni usumbufu

RITA acheni usumbufu

Deceiver

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2018
Posts
9,446
Reaction score
17,059
Hii taasisi ya RITA sijui wameajili watu wa namna gani. Kuna baadhi ya majina ya wanaoomba mikopo ya elimu ya juu wameyakosea pamoja na kwamba walihakiki vyeti na kupiga mihuri. Nimewapigia kwa namba zao 022 2924180/1 na 0800117482 namba zote hazipokelewi tangu saa mbili mpaka hii saa nane.
Kweli kila kitu mpaka waziri au mheshimiwa rais asimamie?
Pokeeni simu msikie watu wanasemaje
 
Andika jina lile lile ulilo liandka wakati una taka kutuma icho chet RITA bila kukosea ....kuna wengne mli andika majina ya kwenye chet ambayo ni tofauti kidgo na mnayo tumia saivi ...uki kosea kdgo tu uwezi liona majina ni mengiiiii
 
Uko RITA mkuu?
 
pole mno mtoa uzi kwa tatizo hilo,ILA tuangalie wapi tulikojikwaa SIO kuangukia!!,nchi yetu bado ni pithole country ambayo mpaka leo haiwezi tambua raia wake,tatizo kama hili lisingekuwepo kama alipozaliwa akasajiliwa pale pale ulipozaliwa na kupewa ID number(ndilo jina lako ambalo nchi yako imekupatia,ID number hii utakua nayo na utakufa nayo)na hii namba ipo ndani ya systems za nchi,kwa hiyo hawa RITA wakitaka kupata taarifa zako ni rahisi ni kuingiza ID number yako kwenye systems na taarifa zako zote wanakuwa nazo ,kwa hiyo hata masuala ya mkopo inakuwa rahisi kupata au kukosa maana wanakuelewa umetoka kweli kwenye familia ya chini au middle class au juu.bila ya kuwa na kitu kama hiki tutapata taabu mno,jina lako likishakuwa ndani ya system ya nchi sio rahisi kubadilisha(may be kwa wandoa wa kike wanaotaka kuchukua maiden name ya waume zao).na system hii inasaidia kuanzia huduma zote za kijamiii,including mikopo.tuachane na mambo ya miaka ya 47 dunia ya sasa ni technolojia!!!
 
Kweli pale RITA kuanzia juu mpaka mpika chai hakuna mwenye elimu hii?
Nchi za Scandinavia walikua na hii mifumo tangu enzi. Kwani viongozi wetu wakienda nchi za nje wanaishia kuiga kuvaa suti na kununua iPhone tu. Naona kila aliyekwenda nje ana iPhone.
 
Ukiona unaishi kwenye nchi ambayo inashindwa kutambua raia wake elewa upo ndani ya pithole country,wazazi/mzazi anapokuzaa anakupa jina ili aweze kukutambua na wewe mwenye jina uweze kujitambua,hili jina utaishi nalo na kufa nalo(kwa nadra sana unaweza badilisha)na nchi vilevile ni lazima ikupe jina ili ikutambue na jina hili ni ID number au wengine wanaita life book,means unapokwenda let say polisi kitu cha kwanza polisi watakachokuuliza wapi ID BOOK YAKO,hivyo hivyo na kwenye huduma zote ,mabenki,mikopo,passport,etc etc ,juzi kati hapo SA mtanzania amekufa na ana passport yake but wanahangaika kujua ndugu zake!!!!!,kikawaida informations za wazazi au guardians za mtanzania huyu kabla ya kupewa passport zingikuwa ndani ya rekodi,means wengeingiza passport number na withins seconds system inatafuta na wanandugu wake wanatokea kwenye screen!!,tutasubiri sana
 
Naomba namba nyingine kama wanazo au ya mkurugenzi
 
Hivi nchi hii itafanya kazi kijigitali lini?
 
Hii taasisi ya RITA sijui wameajili watu wa namna gani. Kuna baadhi ya majina ya wanaoomba mikopo ya elimu ya juu wameyakosea pamoja na kwamba walihakiki vyeti na kupiga mihuri. Nimewapigia kwa namba zao 022 2924180/1 na 0800117482 namba zote hazipokelewi tangu saa mbili mpaka hii saa nane.
Kweli kila kitu mpaka waziri au mheshimiwa rais asimamie?
Pokeeni simu msikie watu wanasemaje
Ushauri nakuomba uende achakupiga simu utakosa kilakitu au utachelewa kupewa hakiyako(mkopo
 
Andika jina lile lile ulilo liandka wakati una taka kutuma icho chet RITA bila kukosea ....kuna wengne mli andika majina ya kwenye chet ambayo ni tofauti kidgo na mnayo tumia saivi ...uki kosea kdgo tu uwezi liona majina ni mengiiiii
Sio suala la sisi kuandika jina. Tulipeleka vyeti wakavihakiki wenyewe na kupiga mhuri. Iweje wajikanganye kwenye kuandika hayo majina waliyo hakiki wenyewe?
 
Back
Top Bottom