Hii taasisi ya RITA sijui wameajili watu wa namna gani. Kuna baadhi ya majina ya wanaoomba mikopo ya elimu ya juu wameyakosea pamoja na kwamba walihakiki vyeti na kupiga mihuri. Nimewapigia kwa namba zao 022 2924180/1 na 0800117482 namba zote hazipokelewi tangu saa mbili mpaka hii saa nane.
Kweli kila kitu mpaka waziri au mheshimiwa rais asimamie?
Pokeeni simu msikie watu wanasemaje
Kweli kila kitu mpaka waziri au mheshimiwa rais asimamie?
Pokeeni simu msikie watu wanasemaje