Risk ya mchawi kujigeuza mnyama...!



Kwa hiyo unashauri tuwabamize kwelikweli ukifanikiwa kuwa gumia siyo?
 
Naskia huko mbeya kuna Mbwa kajigeuza binadamu na watubwakaona. kazua taharuki kubwa
 
Simple, chukua mwiko uliosongewa ugali halafu haujaoshwa, lala nao kitandani ukiwa umeukumbatia kichwani. Ila baada ya hapo utakumbuka kila ulichokiona lakini hautaweza kusimulia kamwe wala hata kuandika ulichokiona
Kwa nn mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…