Mustaphagentleman
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 3,953
- 3,020
Kuna mahali nmekuta huu ujinga,,,, mdada anamimba, na mwnye mimba kamkataa,, sasa anaomba ushauri kwa watu,,, mjinga mmoja kamjibu, siku nyingine ukipewa mimba dai risiti