Great thinker Nginana uko right kwa 100%, kujisifia ukusanyaji wa 13% ya GDP ni kidogo sana kwa taifa lililodhamiria kukusanya kodi... point of reference Burundi wanakusanya 17.5% ya GDP, Kenya 18.4%, Ghana 21%, South Africa 26%, Swaziland 39%, Lesotho 42%. JPM anayo nafasi ya kutufikishia makusanyo ya 25% ndani ya miaka 10 akiamua. Go JPM, go....!
I am grateful for your post! Tuna safari ndefu sana ila hawa 'viongozi' wetu ambao wangepaswa kutuonyesha njia hawajui njia!