Rished Bade kumsaidia Kitillya TRA


Kinachikosekana ni kimoja tu katika hii CV. Alifanya kitu gani tofauti na wengine na ambacho waajiri watamkumbuka kwa hicho?? Hilo jambo ni muhimu sana kupima uwezo wa mtu kuleta mabadiliko!!
 
Kinachikosekana ni kimoja tu katika hii CV. Alifanya kitu gani tofauti na wengine na ambacho waajiri watamkumbuka kwa hicho?? Hilo jambo ni muhimu sana kupima uwezo wa mtu kuleta mabadiliko!!

.... Kudos!!
HIVI Mtu mzima anayeishi kwa kugida kodi ya wananchi wenzake, yaani wale walokwama kwenye dimbwi la umaskini ANAHARIBU mfumo uliojengwa kwa kwaondoa watendaji wazuri na kujaza mazobe wala rushwa wakubwa HALAFU haishii hapo, anaendelea kugida yale kiduchu yanayosazwa na mazobe yake baada ya kuibwa kwa asilimia kubwa THEN anathubutu kupita barabarani???
Hii inawezekana!
 
Duh ...makaburi yanafukuliwa ....moto lazima uwake .....
 
Hivi kwanini wateule wa Mkwere ni team Mamvi? Akiwemo yule wa sasa Vunjo na huyu ambaye kwa Maelezo ya Ben ni team Mamvi ....
 
Bade ni shemeji wa Idrisa Rashid aliyekuwa BOT,kisha ,AKIBA Commercial Bank na baadae MD - TANESCO. ...kubebana stahili!
 
Kitendawili........................!!!!!!
Tega..................................!!!!!!!

Bade ni kijana wa nani kati ya hao chini?
Na pengine utajua alifikaje huko TRA!!!!
[TABLE="width: 660, align: center"]
[TR]
[TD="width: 660, colspan: 4, align: center"][h=2]Bank of Tanzania Governors: Past and Present[/h][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30, bgcolor: #EEEEEE, align: center"]No[/TD]
[TD="width: 210, bgcolor: #EEEEEE"] [/TD]
[TD="width: 210, bgcolor: #EEEEEE"]Name[/TD]
[TD="width: 210, bgcolor: #EEEEEE"]Tenure[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30, bgcolor: #EEEEEE, align: center"]6[/TD]
[TD="width: 210, bgcolor: #EEEEEE, align: center"]
[/TD]
[TD="width: 210, bgcolor: #EEEEEE"]Prof. Benno Ndulu[/TD]
[TD="width: 210, bgcolor: #EEEEEE"]From 8/Jan/2008 todate[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30, bgcolor: #EEEEEE, align: center"]5[/TD]
[TD="width: 210, bgcolor: #EEEEEE, align: center"]
[/TD]
[TD="width: 210, bgcolor: #EEEEEE, align: left"]Dr. Daudi T.S. Ballali
About Daudi Ballali (swahili article)[/TD]
[TD="width: 210, bgcolor: #EEEEEE"]From 1998 to 8/Jan/2008[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30, bgcolor: #EEEEEE, align: center"]4[/TD]
[TD="width: 210, bgcolor: #EEEEEE, align: center"]
[/TD]
[TD="width: 210, bgcolor: #EEEEEE"]Dr. Idris. M. Rashidi[/TD]
[TD="width: 210, bgcolor: #EEEEEE"]From 1993 to 1998[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30, bgcolor: #EEEEEE, align: center"]3[/TD]
[TD="width: 210, bgcolor: #EEEEEE, align: center"]
[/TD]
[TD="width: 210, bgcolor: #EEEEEE"]Mr. Gilman Rutihinda[/TD]
[TD="width: 210, bgcolor: #EEEEEE"]From 1989 to 1993[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30, bgcolor: #EEEEEE, align: center"]2[/TD]
[TD="width: 210, bgcolor: #EEEEEE, align: center"]
[/TD]
[TD="width: 210, bgcolor: #EEEEEE"]Mr. Charles Nyirabu[/TD]
[TD="width: 210, bgcolor: #EEEEEE"]From 1974 to 1989[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30, bgcolor: #EEEEEE, align: center"]1[/TD]
[TD="width: 210, bgcolor: #EEEEEE, align: center"]
[/TD]
[TD="width: 210, bgcolor: #EEEEEE"]Mr. Edwin I. Mtei[/TD]
[TD="width: 210, bgcolor: #EEEEEE"]From 1966 to 1974[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 

siamini nilitype haya maneno... hizi wanzuki hizi... daaa
 
Jidu,

Kama unajua kitu sema... sio unakua kama katoto ka kike kanataka staki;

Mkuwa sasa wewe umbeya unatakiwa uwe umeshauacha.... Yaani mibongo bila majungu na fitna sijui inaona itakufa??

mbaff wahed
 
Last edited by a moderator:
Duuh..Huu ndo muda wa kukaa chini na mzazi wako na kumuuliza kama yupo clean au vipi..Hii kasi ya magufuli inaambatana na vilio
 
Hongera sana "dogo" halafu Kichwa Rished.........sitoshangaa huyu kijana kuja kuteuliwa kuwa Gavana wa Benki Kuu.....watch!

inaweza kuwa kweli... ngoja tuone, labda gavana benki kuu ya segerea!!!
 
Duh ...makaburi yanafukuliwa ....moto lazima uwake .....

Nimecheka Sana lazima makaburi yafukuliwe ili kupima bongo za watu maana kuna watu ni mabingwa wakusifia hata ujinga ilimradi Rais wa ccm
 
Jidu,

Kama unajua kitu sema... sio unakua kama katoto ka kike kanataka staki;

Mkuwa sasa wewe umbeya unatakiwa uwe umeshauacha.... Yaani mibongo bila majungu na fitna sijui inaona itakufa??

mbaff wahed

Kumbe imekutachi au sivyo!!
Si hadithi unaifahamu?
Siyo bure Bade yuko pale!!
Sasa mzee wa Push Up inaelekea ametonywa!!
 
Last edited by a moderator:
ulipoandika hii comment hukujua ambacho kingejir 2015 kwel tujue kuweka akiba ya maneno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…