Renegade JF-Expert Member Mar 18, 2009 7,143 6,784 Nov 30, 2015 #361 Mama chaudere said: nahis alijitahidi sana sema nd ivo tena hapa nd kazi tu Click to expand... Kwa kweli Haendani na Kasi ya HAPAKAZI! aliyemweka sijui anajisikiaje uko? Ni aibu.
Mama chaudere said: nahis alijitahidi sana sema nd ivo tena hapa nd kazi tu Click to expand... Kwa kweli Haendani na Kasi ya HAPAKAZI! aliyemweka sijui anajisikiaje uko? Ni aibu.
Mnyabwilo JF-Expert Member May 7, 2013 720 255 Nov 30, 2015 #363 kahtaan said: I ain't your brother galatia women. So don't even think about it. Nyie waefeso roho korosho km skunk. Jitu zima unaleta habari ya doubts! Huna wazee kweni wewe? Click to expand... wewe jamaaa sasa ndio nimejua mdini....kwahiyo ulitaka amuache sababu kisa dini....pumbafu kabisa wewe
kahtaan said: I ain't your brother galatia women. So don't even think about it. Nyie waefeso roho korosho km skunk. Jitu zima unaleta habari ya doubts! Huna wazee kweni wewe? Click to expand... wewe jamaaa sasa ndio nimejua mdini....kwahiyo ulitaka amuache sababu kisa dini....pumbafu kabisa wewe
K Kibagata JF-Expert Member Apr 1, 2012 773 135 Nov 30, 2015 #364 yametimia, hawa wasomali watatumaliza na kutuibia,
kifinga JF-Expert Member Dec 5, 2011 5,249 9,503 Nov 30, 2015 #365 ha ha ha ha ha ha watu wanazi wameenda kuufukua uzi hukooooo ili waje kutia fitna tu
cyberspace JF-Expert Member Jul 23, 2011 730 291 Nov 30, 2015 #366 JUST said: ninamashaka na utendaji wake kwani alikuwa CEO wakati Barclays bank(Tanzania) inapata hasara ya bilioni 8 iliyotokana na mikopo hewa. Click to expand... Duu, no comment
JUST said: ninamashaka na utendaji wake kwani alikuwa CEO wakati Barclays bank(Tanzania) inapata hasara ya bilioni 8 iliyotokana na mikopo hewa. Click to expand... Duu, no comment
KILIVITE JF-Expert Member Feb 14, 2013 1,302 555 Nov 30, 2015 #367 Lisemwalo lipo kama halipo LINAKUJA..
kahtaan JF-Expert Member Jul 11, 2009 18,695 11,301 Dec 1, 2015 #368 Kibagata said: yametimia Click to expand... Kibagata said: yametimia, hawa wasomali watatumaliza na kutuibia, Click to expand... Uibiwe nini we pangu pakavu? We mwenyewe rizki za kuvizia halafu unaogopa kuibiwa! Makatonta wengine vichekesho kweli. We ukiogopa kuibiwa na Mengi asemeje sasa! Teh teh teh.
Kibagata said: yametimia Click to expand... Kibagata said: yametimia, hawa wasomali watatumaliza na kutuibia, Click to expand... Uibiwe nini we pangu pakavu? We mwenyewe rizki za kuvizia halafu unaogopa kuibiwa! Makatonta wengine vichekesho kweli. We ukiogopa kuibiwa na Mengi asemeje sasa! Teh teh teh.
404040 Member Oct 16, 2015 18 0 Dec 1, 2015 #369 Tunataka nishati na madini nako kushughulikiwe hali ni mbaya