Ndivyo Ilivyo
JF-Expert Member
- Mar 10, 2008
- 243
- 4
Kife Chama cha Kafu, na uharamia wao Lo!Kidumu Chama Cha Madhalimu(CCM) na udhalimu wao Lo!
Kife Chama cha Kafu, na uharamia wao Lo!Kidumu Chama Cha Madhalimu(CCM) na udhalimu wao Lo!
Hapa ndio huwa naulizia wakowapi viongozi wa dini?
Inachukliza zaidi kuona CUF wanataka kuingia madarakani huko Zenj kwa njia za ubabe , za kijahilia, za kiharamia zisizo za kistaarabu na zenye kuhatarisha maisha ya wanajamii.Inachukiza, yaani CCM inalazimisha kubaki madarakani kwa mtutu wa bunduki?
Hii hadithi ya mwanambuzi na chui, nani anachufua maji ya mto, ni chui aliyeko juu yanakotokea au mwanambuzi aliyeko chini yanakotiririkia?kama anatishia amani na maisha ya wengine walio wengi afanywe nini? atizamwe tu - tungojee ushahidi wa kinyamwezi- hapo atakapokuwa ameshawaangamiza wenziwe pengine wapatao kumi?
Nani haramia tokea mwaka 1977 hadi leo wangapi wameuliwa, wamedhulumiwa, wamfungwa jela, wameteswa, wamebabikiwa kesi, wamenyan'ganywa na kuharibiwa mali zao na kulazimishwa kuwa wakimbizi na hayo kayafanya nani?Kife Chama cha Kafu, na uharamia wao Lo!
Bado una mawzo ya Ki-Omari Mapuri kuwa eti CUF wanataka madaraka ili wamrejeshe Sultani, what for? Kama njia za ubabe nani ana dola, nani ana mahakama na nani anatunga sheria kandamizi kati ya chama tawala na wapinzani. CCM imeshamwaga damu kwa kulazimisha kubaki madarakani huu si ujahilia, uharamia na ubabe. Au kuweka makambi ya vijana kule Tunguu, Hanyegwamchana na Kama (Janjaweeds camps) ndo ustaarabu wa unaouzungumzia, au kuweweka watu magerezani kwa kesi zisizo mbele wala nyuma huo ndo ustaarabu wa kidemokarasia, kweli watu si mapapai kama wataoza jela kama "komandoo" wenu alivyosema lakini je ni uungwana na utu kuwa jahili kama vile? CCM wasiseme kitu kuhusu utu na ubinaadamu wao ni madhalimu wa rangi zote za kipigi.Inachukliza zaidi kuona CUF wanataka kuingia madarakani huko Zenj kwa njia za ubabe , za kijahilia, za kiharamia zisizo za kistaarabu na zenye kuhatarisha maisha ya wanajamii.